Messi Vs Van Dijk nani atampoteza mwenzake?

Messi Vs Van Dijk nani atampoteza mwenzake?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Wakuu wa jukwaa habari zenu!

Leo ndio ile siku ya kuamaliza utata, Mchezaji bora toka kuumbwa kwa Ulimwengu Lionel Messi atakapokuatana na anayedhaniwa kuwa beki hodari kwa msimu huu Van Dijk pale Nou Camp.

Je ni nani atamuweka mwenzake mfukoni, utamu wa mechi hii uko hapo, mimi kwangu mambo mengine yote ya mechi hii siyataki.

Nataka kuona Messi Vs VVD nani atafanikiwa kumnyamazisha mwenzake hasa ukizangatia Nou Camp hatoki mtu salama!

Tukutane wakati wa mechi!
 
Wataalamu wa mambo walishasema njia pekee ya kumzuia messi ni kumchezea rafu tu ...

Sasa hivi hata wale haters wameanza kumkubali maana wamwshindwa kuhate wa misimu 10 mfululizo na jamaa anazidi kupiga magoli tu
 
Kipindi cha pili Barca walizidiwa kila kitu tena hata magoli yenyewe wamefungwa ya kipuuzi sana Liverpool
VVD mnamuonea tu, Liver wote wamezidiwa na Messi.

Yule Fabinho alianza kumkba Messi kwa sifa lakini kadiri muda ulivyosonga mbele na yeye ndio akawa anazurura tu.
 
Back
Top Bottom