Alichowafanya ludogorets hawatamsahau, ni fundi wa ukweliOZIL NOMA...anazidi kuwa complete player kila kukicha.ni nomaa yani anasumbua ile mbaya kabisa...England kwa sasa hakuna tishio kwa yeye
Nini Unataka kusema?Mashabiki wa aseno bna!
Umemalizia vibaya.Siwapendi kabisa Arsenal...ila napenda wanavyo cheza kwakweli wanavutia....Ozil ameonyesha kiwango cha kina Mess.
Viva Man utd.
kwa mujibu wa nani FIFA!..sidhan hata kama okocha yumo,hao wendawazimu tuIla mkumbuke hayumo hata kwenye list ya wachezaji 30 wa kiwango cha dunia...
Mashabiki wa aseno bna!
Acha ujinga wewe, usiwe tegemezi kiasi hicho, qachezaji bora kwako mpaka mtu akitajie?? Wewe huna macho ya kumuona??Ila mkumbuke hayumo hata kwenye list ya wachezaji 30 wa kiwango cha dunia...