Mesut Ozil anazidi kuwa complete player kila kukicha

Mesut Ozil anazidi kuwa complete player kila kukicha

ndo tatzo la ulaya ingekuwa zama zetu za Warumba FC Pale tunacheza mtu unakula red yanaisha ila sio kufungwa kwa ufundi ule [emoji23][emoji23][emoji23] mipira n mdogo kuliko mtu why choosin to tackle the ball
 
Siwapendi kabisa Arsenal...ila napenda wanavyo cheza kwakweli wanavutia....Ozil ameonyesha kiwango cha kina Mess.


Viva Man utd.
Umemalizia vibaya.
 
Ila mkumbuke hayumo hata kwenye list ya wachezaji 30 wa kiwango cha dunia...
 
Wabongo bhana, mwenzenu anajiyengenezea nazingira ya kuboresha mkataba mpya. Angalia wachezaji wa Bongo hasa Yanga na Simba wanapo karibia kumaliza mikataba yao.
 
Mesut Ozil angekua level flani sawa na kina Messi au Neymar. Sema Uvivu na uvutaji mwingi wa Bangii..
 
Ila mkumbuke hayumo hata kwenye list ya wachezaji 30 wa kiwango cha dunia...
Acha ujinga wewe, usiwe tegemezi kiasi hicho, qachezaji bora kwako mpaka mtu akitajie?? Wewe huna macho ya kumuona??
 
Back
Top Bottom