META ina Wanasheria wakubwa sana duniani, haifanyi maamuzi kwa kukurupuka, kuuliza kwanini imefunga account ni sawa na kujidhalilisha

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,651
Reaction score
1,129
META ina Wanasheria wakubwa sana duniani, haifanyi maamuzi kwa kukurupuka, kuuliza kwanini imefunga account ni sawa na kujidhalilisha

Kabla ya kufunga account za watumiaji inahakikisha ina vielelezo vya kimataifa vya Kisheria ambavyo itatoa Mahakamani endapo kama vitahitajika

Wanasheria wa META ni wakubwa sana duniani wenye kiwango kikubwa sana cha elimu ni vigumu kuwauliza maswali yenye lengo la kutaka kufaulu

Kitendo cha wanaharakati kulalamika kwamba wamefungiwa account kinaonesha ni kiasi gani watumiaji hao wamevunja Sheria za Mitandao ya Kijamii

Ni sahihi watumiaji hao kukiri makosa yao na kuachana na makosa hayo kwa gharama yeyote ile kwasababu kuendelea zaidi itawagharimu

Watumiaji hao wanashauriwa kuacha mara moja tabia ya kujitetea kwasababu itadhihirishia META kuwa ni kiasi gani watumiaji hao ni watomvu wa nidhamu au magaidi

Watumie nafasi hii kujutia makosa yao yaliyopelekea vijana kuingizwa kwenye matatizo na sio kuendelea kuvunja Sheria ambazo mwisho wake zitawatia kitanzi huku wakiwa wamebaki peke yao wakizomewa na dunia

Hata hivyo wana kesi ya kujibu "Kesi ya kuwapotosha vijana na kuwaingiza kwenye matatizo"

Kawaida kuwapotosha watu na kuwaingiza kwenye matatizo ni kesi nzito sana

Hii ni kwasababu pasipo upotoshaji huo basi vijana hao wangekuwa salama

Wa kwanza kuulizwa ni yule aliyewatuma kwenye matatizo kwasababu pasipokuwatuma yasingewapata

Nadhani muda huu wautumie kujutia na sio kuendelea kuvunja Sheria
 
Kwa hiyo unajaribu kusema nini hapa hujaeleweka kijana.....
Lengo ni kwamba Mange ni mkosefu na hapaswi kuwasumbua META kufanya hivyo kutamwingiza zaidi hatiani
 
Wataje hao wakubwa wanasheria....

But science tells it all in: to every action there is equal and opposite reaction
 
Kufungiwa account kwa kukiuka taratibu ni jambo la kawaida, hata humu JF ban huwa zinatembea na mwisho wa siku wanaiachia account.
 
Imani yangu ni kiwa Pakome akili kubwa nitashangaa sana kukutana na pakome akili kisoda!
 
Kufungiwa account kwa kukiuka taratibu ni jambo la kawaida, hata humu JF ban huwa zinatembea na mwisho wa siku wanaiachia account.
Kwa issue ya Mange ikiwezekana aache kabisa kuwasumbua kwasababu wana ushahidi wa Kisheria wa kumfunga endapo atazidisha usumbufu, wale sio Wanasheria wa masihara
 
IMG_20251203_181938.jpg
IMG_20251204_164623.jpg
Lengo ni kwamba Mange ni mkosefu na hapaswi kuwasumbua META kufanya hivyo kutamwingiza zaidi hatiani

Kuna wahalifu wakubwa zaidi wanaomiliki vikosi vya utekaji, ufi*Raji na uuaji pamoja na henchmen wao hao muda wao uko mbioni kuwadia.
 
Kwa issue ya Mange ikiwezekana aache kabisa kuwasumbua kwasababu wana ushahidi wa Kisheria wa kumfunga endapo atazidisha usumbufu, wale sio Wanasheria wa masihara
Ushahidi upi? Kosa lipi kafanya la kufungwa?
 
Wataje hao wakubwa wanasheria....

But science tells it all in: to every action there is equal and opposite reaction
Wapo wengi sana including Jennifer Newstead
 
Ushahidi upi? Kosa lipi kafanya la kufungwa?
Kosa analofanya Mange ni kuendelea kulalamika kwamba META inamuonea pasipokujua kwamba imeshakusanya ushahidi wa kutosha kumfunga endapo ataendelea kuwasumbua
 
×<MEDIA>@www.jamiiforums.com
×<MEDIA>@www.jamiiforums.com
Kuna wahalifu wakubwa zaidi wanaomiliki vikosi vya utekaji, ufi*Raji na uuaji pamoja na henchmen wao hao muda wao uko mbioni kuwadia.
Hili tatizo nadhani tuanze na Mange aliyewapotosha

Kwa akili ya kawaida huwezi kuwatuma vijana kwenda kwenye hatari badala yake alitakiwa awaepushe na hii hatari

Alipowatuma hakujiuliza kuna madhara?

Hakujua kama alikuwa akiwaingiza kwenye hatari kubwa sana?

Hii tahadhari ndiyo alitumia baba wa Taifa Mwl Nyerere na kupelekea kukataa vurugu au kupigana vita mara nyingi aliitisha mazungumzo na sio vita
 
Great mkuu
 
Hili tatizo nadhani tuanze na Mange aliyewapotosha

Kwa akili ya kawaida huwezi kuwatuma vijana kwenda hatari badala yake alitakiwa awaepushe na hii hatari

Alipowatuma hakujiuliza kuna kama kuna madhara?

Hakujua kama alikuwa akiwaingiza kwenye hatari kubwa sana?

Hii tahadhari ndiyo alitumia baba wa Taifa Mwl Nyerere kukataa vurugu au kupigana vita mara nyingi aliitisha mazungumzo na sio vita
Mange hana uwezo wowote wa kuwashawishi Gen Z kuingia barabarani, kwani na Nepal, Mexico, Madagascar pia ni Mange?
Kusingekuwa na utekaji, ufi*Raji, uuaji na haya yanayoendelea kama kuficha miili ya watu waliouawa hakuna atakayeshawishika kuingia barabarani. Mbona the real root cause ambayo among other things ni hayo ya wauaji na watekaji mnakwepa kuyazungumzia? Who're you protecting? Watu waendelee tu kutekwa na kuuawa?
 
Nitakufundisha kitu, katika maisha yako yote usithubutu kutuma au kushawishi watu kwenda kwenye hatari
Wakipatwa na matatizo Muumba atakuuliza wewe
Alifanya makosa makubwa sana kuwahimiza wafanye vile, badala yake alitakiwa awalinde kama wadogo zake na kuwaepusha kwenda
Dunia inataka umlinde binadamu mwenzako na sio umwingize kwenye matatizo
 
Meta wamemjibu Larry Madowo kuwa wamefunga akaunti ya Mange kwasabb ya uvunjifu wa sheria za meta ambazo Mange amekuwa akiufanya kwa kujirudiarudia.
 
Back
Top Bottom