Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,651
- 1,129
- Thread starter
- #21
Okay, kwa issue kama hii Mange anatakiwa aache kulalamika na akiri makosa yake kwasababu wana ushahidi kamili inamana kama ataendelea kuwasumbua watamwishtakiMeta wamemjibu Larry Madowo kuwa wamefunga akaunti ya Mange kwasabb ya uvunjifu wa sheria za meta ambazo Mange amekuwa akiufanya kwa kujirudiarudia.