Metacha mnata anaondoka Yanga

Metacha mnata anaondoka Yanga

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Vumilieni tu wazee wa visit kidimbwi yatakwisha tu.

metacha.png

Screen Shot 2021-03-08 at 10.51.06 PM.png
 
Sasa mbona timu inaparaganyika, kama benchi la ufundi hamna na hamna benchi la muda na wachezaji wanasepa[emoji849]
 
Kuna wachezaji walikuwa nawaihujimu timu
wacha wee wamechukuliwa hatua gani nilidhani ilikuwaga ni yondani na kina juma abdul kumbe bado kuna hujuma,ndugu zangu mnahujumiwa hadi na CAS,FIFA hadi bunge la tanzania limekataa kuwaalika bungeni wakati mmechukua kombe la mapinduzi,oh by the way namungo ni ya 59 afrika kwa sasa hadi CAF inawahujumu mko nyuma ya namungo
 
Hii timu yangu ni pasua kuchwa aisee🤔🤔
 
Back
Top Bottom