Metacha mnata anaondoka Yanga

Metacha mnata anaondoka Yanga

Yanga haina golikipa mzuri toka kaondoka kakolanya,nadhani hili tatizo wahusika hawalioni
Screen Shot 2021-03-08 at 10.51.06 PM.png
 
Hapo humsikii kitenge akiongea tetesi
hata tetesi ya saido ntibakonzinza kudanganywa kuhusu hela zake hatasema ingawa wanayanga wanaliongelea hilo..aliahidiwa kulipwa milioni 60 ya kusaini akapewa 15..akahaidiwa gari na nyumba ,kapewa gari tu nyumba bado kasingizia ugonjwa yuko zake burundi kaenda kupumzika
 
Kumbe ndio maana jamaa hachezi, haya ndio matatizo ya kuleta sarakasi za kiccm hadi kwenye mpira, yaani kipindi cha malinzi hawa jamaa walibebwa sana, sasa wanataka wapate ubingwa kwa kubebwa tena, waende pale tff wakaliibe, tatizo mpira ni mchezo wa wazi tofauti na kupiga kura.
 
kaona wanamchukulia poa kaenda kupumzika kwao
 
Sio kwamba hii ni fake account
Ingekuwa hii taarifa inawahusu wao, basi ungeshangaa muda huu wangekuwa wako nyuma ya yule mzungu pori wao wakimshambulia aliyetuma hiyo taarifa ya upotoshaji!

Hakika umbumbumbu ni mbaya sana.
 
Kuna kiongozi wa Yanga kaenda mshambulia Metacha eti anamloga Shikalo. Hiyo ni baada ya Shikalo kujitetea goli ka pili alilofungwa na Coast aliona wingu zito na moshi mnene.
Yaani Viongozi wanaamini huu ujinga.
 
Anaenda wapi? au anarudi nyumbani kupumzika amechoka shida za matopeni!.

Zengwe hilo wanataka kumuondoa Msola, hizi timu zimejaa wachawi haswa.
Msolla si yuko kwenye payroll ya huyu nanihii?
 
Badala ya kushughulika na MABEKI wenu wabovu
Mnamshambulia golikipa wenu eti anauza mechi
Mnajichimbia kabuli wenyewe......
Metacha byeeeeee
Lile goli hata angekuwa nani angefungwa, Buswita katumia urefu wake kufunga lile goli hata mabeki wasingekuwa na la kufanya kingine zaidi ya kumchezea faulu ambayo ingezaa penati. Sio Metacha wala Kaze mwenye hatia
 
Ingekuwa hii taarifa inawahusu wao, basi ungeshangaa muda huu wangekuwa wako nyuma ya yule mzungu pori wao wakimshambulia aliyetuma hiyo taarifa ya upotoshaji!

Hakika umbumbumbu ni mbaya sana.
sawa mkuu inasemekana "hacker alidukua simu ya msolla akampigia mnata"hahahahahaha uuuwiii msola alimuwakia dogo kwamba anauza mechi halafu mchawi kwa wenzake hata jemedari said meneja wa mnata kathibitisha msolwa alipiga hiyo simu
 
Anafungwa shikalo lawama metacha
mwenyekiti anamlalamikia kwamba ni mchawi anamloga mwenzake na kwamba anauza mechi,meneja wake leo EFM alikataa kutaja jina la kiongozi ila aksema "huyo kiongozi mkubwa kuna siku alinilalamikia hilo suala nikamuuuliza una uthibitisho?kama hauna achana nalo" leo msolwa anakataa hakupiga simu anadai ilidukuliwa,duhhh
 
Back
Top Bottom