Metacha mnata anaondoka Yanga

Metacha mnata anaondoka Yanga

Ni mara nyingi tu mabeki wa Yanga wamekuwa wakiisindikiza mipira ya juu kwa macho
 
Kuna kiongozi wa Yanga kaenda mshambulia Metacha eti anamloga Shikalo. Hiyo ni baada ya Shikalo kujitetea goli ka pili alilofungwa na Coast aliona wingu zito na moshi mnene.
Yaani Viongozi wanaamini huu ujinga.
ni msolwa utetezi wake ni kwamba simu yake ilidukuliwa lakini meneja wa metacha mnata alisema siyo mara ya kwanza huyo kiongozi kumlalamikia hilo suala na meneja akamuambia alithibitishe au aaacahne nalo hiyo ilikuwa siku za nyuma
 
mwenyekiti anamlalamikia kwamba ni mchawi anamloga mwenzake na kwamba anauza mechi,meneja wake leo EFM alikataa kutaja jina la kiongozi ila aksema "huyo kiongozi mkubwa kuna siku alinilalamikia hilo suala nikamuuuliza una uthibitisho?kama hauna achana nalo" leo msolwa anakataa hakupiga simu anadai ilidukuliwa,duhhh
Hii sio tetesi ila yule kiherehere amekaa kimya anasubiri habari za kutunga kuivuruga Simba
 
Hii sio tetesi ila yule kiherehere amekaa kimya anasubiri habari za kutunga kuivuruga Simba
leo hilo sualala metacha linaongelewa kabaki nyuma anasema tu mmmmmuuuu mhhhhh utadhani anyanduana ila ingekuwa simba sasaaaaa,angeshika mic yeye makelele juu huku akitikisa mabega kama wanwake wanaosutana,wasafi fm imekuwa ya kimama sana
 
🤣🤣🤣
 
sawa mkuu inasemekana "hacker alidukua simu ya msolla akampigia mnata"hahahahahaha uuuwiii msola alimuwakia dogo kwamba anauza mechi halafu mchawi kwa wenzake hata jemedari said meneja wa mnata kathibitisha msolwa alipiga hiyo simu
Imedukuliwa na sauti yake pia? Metacha haijui sauti ya Msolla?
 
Back
Top Bottom