Metacha Mnata ni golikipa kweli?

Kijili hakulipwa ila huyo akichoka black stars anarudi yanga akichoka yanga anarudi black stars hata kama kipofu basi jitahidi kupapasa!
Kwa hiyo mkifungwa nyie na Yanga tena mpaka mnajifunga wenyewe ni haki ila wakifungwa wengine wamenunuliwa? Kweli ndio maana upo CCM
 
Siku zote nilifikiri watu wote wenye vipara, wana akili. Ila wewe naona umeniprove wrong!
 
Kwa hiyo mkifungwa nyie na Yanga tena mpaka mnajifunga wenyewe ni haki ila wakifungwa wengine wamenunuliwa? Kweli ndio maana upo CCM
Ukitoka hebu fuatilia kidogo kuhusu metacha ukiupata ukweli usirudi kaa kimya mpira wa bongo huu!
 
Leo umepiga penyewe! Huu anaofanya Mwigulu na GSM ni hujuma kwa soka letu.
 
Ila mtazamo wangu uko pale pale. Siyo watu wote wenye vipara, wana akili timamu.
Mimi mtizamo wangu upo kwenye kuamini wenye viashiria vya kukimbilia matusi walipitiwa wakati wa makuzi yao!
 
Bodi ya ligi ilishawaambia nyie mbumbumbu msiojielewa kwamba akuna mdhamini anayezuiwa kudhamini timu na akuna Sheria Wala kanuni iliyovunjwa mpaka sasa kwa gsm kudhamini timu za ligi kuu ivyo ata Mo wenu anaruhusiwa kuweka kudhamini wake kama iyo ndio sababu ya ubora wa yanga na ubovu wa Simba, ili tuone kama huo udhamini ndio unakufanya ushinde mechi mwambieni mhindi wenu na yeye aweke udhamini wake ili muwe mnashinda kirahisi basi!
 
Huwa mnapata nini kuharibu maisha ya wenzenu? Upuuzi upuuzi tu.
 
Ndo magolikipa wa bongo walivyo. NI sawa sawa na yule golikipa wa PRISONS aliyewazadia Simba goli. Alidaka mpira vizur halafu aliuachia ili liwe goli.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…