Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi?Hii mechi kuchezwa Zanzibar kimazingira ni upangaji wa matokeo.
Upo sahihi!Hii mechi kuchezwa Zanzibar kimazingira ni upangaji wa matokeo.
Kwa hiyo mkifungwa nyie na Yanga tena mpaka mnajifunga wenyewe ni haki ila wakifungwa wengine wamenunuliwa? Kweli ndio maana upo CCMKijili hakulipwa ila huyo akichoka black stars anarudi yanga akichoka yanga anarudi black stars hata kama kipofu basi jitahidi kupapasa!
Kwahiyo Azam alivyopeleka mechi yake na Simba Zanzibar ilikuwa lengo ni kupanga matokeo? Mbona una uwezo mdogo sana wa kufikiriaHii mechi kuchezwa Zanzibar kimazingira ni upangaji wa matokeo.
Siku zote nilifikiri watu wote wenye vipara, wana akili. Ila wewe naona umeniprove wrong!Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .
Mwigulu Nchemba Mungu anakuona kutuharibia ligi ya Tanzania bara kwa kuinunua Ihefu na kuigeuza msekure wa Yanga kama ilivyokuwa kwa Singida.
Gsm Mungu anawaona kwa kuharibu ligi kuu kwa kudhamini timu karibu saba,
Angalizo; msije na povu kuwa Simba amefungwa na Yanga au Camara kajisaidia mada ni GSM na biashara ya soka kama anavyoendesha ya magodoro kama aliweza kumtoa Manara Simba basi kununua Football federation inawezekana sio kwa udhamini wa timu saba mpaka TFF yenyewe!
Kurjuan haina masihara Mkuu.Lile goli alifugwa kuna kitu alikuwa anafanya sijui ni nn, maana ni kama kastukizwa hivi
Unalazima wote tuamini unachoamini wewe!Siku zote nilifikiri watu wote wenye vipara, wana akili. Ila wewe naona umeniprove wrong!
Ukitoka hebu fuatilia kidogo kuhusu metacha ukiupata ukweli usirudi kaa kimya mpira wa bongo huu!Kwa hiyo mkifungwa nyie na Yanga tena mpaka mnajifunga wenyewe ni haki ila wakifungwa wengine wamenunuliwa? Kweli ndio maana upo CCM
Leo umepiga penyewe! Huu anaofanya Mwigulu na GSM ni hujuma kwa soka letu.Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .
Mwigulu Nchemba Mungu anakuona kutuharibia ligi ya Tanzania bara kwa kuinunua Ihefu na kuigeuza msekure wa Yanga kama ilivyokuwa kwa Singida.
Gsm Mungu anawaona kwa kuharibu ligi kuu kwa kudhamini timu karibu saba,
Angalizo; msije na povu kuwa Simba amefungwa na Yanga au Camara kajisaidia mada ni GSM na biashara ya soka kama anavyoendesha ya magodoro kama aliweza kumtoa Manara Simba basi kununua Football federation inawezekana sio kwa udhamini wa timu saba mpaka TFF yenyewe!
Kuna mahali nimekulazimisha/walazimisha kuamini ninachoamini mimi?Unalazima wote tuamini unachoamini wewe!
Baki navyo wala sihitaji kujua!Kuna mahali nimekulazimisha/walazimisha kuamini ninachoamini mimi?
Ila mtazamo wangu uko pale pale. Siyo watu wote wenye vipara, wana akili timamu.Baki navyo wala sihitaji kujua!
Sawa aina haya kila mtu anayaweza ila najaribu kutumia hekima nisitoke kwenye msitari!Ila mtazamo wangu uko pale pale. Siyo watu wote wenye vipara, wana akili timamu.
Mimi mtizamo wangu upo kwenye kuamini wenye viashiria vya kukimbilia matusi walipitiwa wakati wa makuzi yao!Ila mtazamo wangu uko pale pale. Siyo watu wote wenye vipara, wana akili timamu.
Kajibu?Simba mlilipwa shingapi Kufungwa na Yanga ?
Kajibu bila JibuKajibu?
Bodi ya ligi ilishawaambia nyie mbumbumbu msiojielewa kwamba akuna mdhamini anayezuiwa kudhamini timu na akuna Sheria Wala kanuni iliyovunjwa mpaka sasa kwa gsm kudhamini timu za ligi kuu ivyo ata Mo wenu anaruhusiwa kuweka kudhamini wake kama iyo ndio sababu ya ubora wa yanga na ubovu wa Simba, ili tuone kama huo udhamini ndio unakufanya ushinde mechi mwambieni mhindi wenu na yeye aweke udhamini wake ili muwe mnashinda kirahisi basi!Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .
Mwigulu Nchemba Mungu anakuona kutuharibia ligi ya Tanzania bara kwa kuinunua Ihefu na kuigeuza msekure wa Yanga kama ilivyokuwa kwa Singida.
Gsm Mungu anawaona kwa kuharibu ligi kuu kwa kudhamini timu karibu saba,
Angalizo; msije na povu kuwa Simba amefungwa na Yanga au Camara kajisaidia mada ni GSM na biashara ya soka kama anavyoendesha ya magodoro kama aliweza kumtoa Manara Simba basi kununua Football federation inawezekana sio kwa udhamini wa timu saba mpaka TFF yenyewe!
Huwa mnapata nini kuharibu maisha ya wenzenu? Upuuzi upuuzi tu.Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .
Mwigulu Nchemba Mungu anakuona kutuharibia ligi ya Tanzania bara kwa kuinunua Ihefu na kuigeuza msekure wa Yanga kama ilivyokuwa kwa Singida.
Gsm Mungu anawaona kwa kuharibu ligi kuu kwa kudhamini timu karibu saba,
Angalizo; msije na povu kuwa Simba amefungwa na Yanga au Camara kajisaidia mada ni GSM na biashara ya soka kama anavyoendesha ya magodoro kama aliweza kumtoa Manara Simba basi kununua Football federation inawezekana sio kwa udhamini wa timu saba mpaka TFF yenyewe!
Ndo magolikipa wa bongo walivyo. NI sawa sawa na yule golikipa wa PRISONS aliyewazadia Simba goli. Alidaka mpira vizur halafu aliuachia ili liwe goli.Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .