Methali na mahusiano yako

Methali na mahusiano yako

Kuna mahusiano yapo kwenye methali isemayo "mvumilivu hula mbivu" but another time inageuka "ngojangoja huumiza matumbo"

"Waliochagua Nazi wakaishia koroma" wamebaki kupata na "usiache mbachao kwa msala upitao".

Mi kuna mchongo nausikilizia,tusikie kwenu Nyie mlio dimbani mahusiano yenu yapo kwenye methali gani?
Kipya hakinyemi
 
Back
Top Bottom