Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipya hakinyemiKuna mahusiano yapo kwenye methali isemayo "mvumilivu hula mbivu" but another time inageuka "ngojangoja huumiza matumbo"
"Waliochagua Nazi wakaishia koroma" wamebaki kupata na "usiache mbachao kwa msala upitao".
Mi kuna mchongo nausikilizia,tusikie kwenu Nyie mlio dimbani mahusiano yenu yapo kwenye methali gani?
Usiniambie[emoji2815]Ngoma ikilia sana hupasuka.Tulianza kwa kasi kubwaaa kilichokuja tokea tumepasuka vipande vipande.
🤣🤣🤣🤣🤣 ticha mbona hivyo tena?? Hiyo ilikua zamani nkiwa kijana bado.🤣🤣Kama umefanywa kitu hakika nimefurahi sana....maana una masimango mno🤸
Atakuitika mwenzioKweli hazigandi...msalimie sana
😂🤣🤣🤣🤣 Imeisha hiyo
Ndio nakuambia sasa😃Usiniambie[emoji2815]
Kumbe unapelekewa moto mtoto mwenye tako skonsi"Usiache mbachao kwa msala upitao"