Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Nilimkuta anaandaa mahindi, kipindi ambacho kulikuwa na balaa la wadudu na ukame hivyo uvunaji haukuwepo kabisa au ilikuwa duni mno. Katika kuchangamsha tu genge nikamsifu kidogo kwa kumwambia kuwa kumbe amejitahidi Hadi amevuna kidogo. Hii ndo ilikuwa respond yake,
"ee baba, anayejamba hayaachi kunuka"
Niliduwaa na nikajuta hata kwanini niligusia hata suala lenyewe. Rohoni nikawa ninajisemea, "I've got mother in law who is very stupid".
"ee baba, anayejamba hayaachi kunuka"
Niliduwaa na nikajuta hata kwanini niligusia hata suala lenyewe. Rohoni nikawa ninajisemea, "I've got mother in law who is very stupid".