Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
we achana nae,maana ajambae akinuka hashtakiwiNilimkuta anaandaa mahindi, kipindi ambacho kulikuwa na balaa la wadudu na ukame hivyo uvunaji haukuwepo kabisa au ilikuwa duni mno. Katika kuchangamsha tu genge nikamsifu kidogo kwa kumwambia kuwa kumbe amejitahidi Hadi amevuna kidogo. Hii ndo ilikuwa respond yake,
"ee baba, anayejamba hayaachi kunuka"
Niliduwaa na nikajuta hata kwanini niligusia hata suala lenyewe. Rohoni nikawa ninajisemea, "I've got mother in law who is very stupid".
Mamkwe asiye na mipaka.Nilimkuta anaandaa mahindi, kipindi ambacho kulikuwa na balaa la wadudu na ukame hivyo uvunaji haukuwepo kabisa au ilikuwa duni mno. Katika kuchangamsha tu genge nikamsifu kidogo kwa kumwambia kuwa kumbe amejitahidi Hadi amevuna kidogo. Hii ndo ilikuwa respond yake,
"ee baba, anayejamba hayaachi kunuka"
Niliduwaa na nikajuta hata kwanini niligusia hata suala lenyewe. Rohoni nikawa ninajisemea, "I've got mother in law who is very stupid".
Lugha ya wapi hii mkuu.Aliyejamba (aliyelima/aliyepanda) hayaachi kunuka (hakosi mazao)..
Huyo Mama amepata Mkwe Mpuuzi sana..
Lugha ya wapi hii mkuu.
Hii methali sijawahi kuisikia.Hujui methali?
Ndiyo uisikie Sasa..Hii methali sijawahi kuisikia.