Tanzania tuna makabila mbalimbali
na yana utajiri mkubwa wa methali zenye mafunzo tofauti...
sasa basi anaezijua aweke hapa tuweze faidika na wengine
unaweka kama ilivyo,halafu tafsiri yake na unataja kabila la methali hiyo...
"atakwendela muhigo ati ebwa yawe nekuntira" - Hayatafsiri- asiyekutakia ufanisi katika mawindo,atakuadaa (katisha tamaa) kuwa mbwa wako ana kishindo hivyo anaathiri mawindo
"atakwendela muhigo ati ebwa yawe nekuntira" - Hayatafsiri- asiyekutakia ufanisi katika mawindo,atakuadaa (katisha tamaa) kuwa mbwa wako ana kishindo hivyo anaathiri mawindo
Omukazi kalichumba ebhitahile omanye aragaine no 'omugenda.
(Kinyambo hicho).
Tafsiri: Mwanamke akipika chakula kisiive jua ana miadi na mwanamme mwingine nje ya ndoa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.