isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
- Thread starter
-
- #21
Asante kwa ufafanuzi."Lupita Nyong'o was born in Mexico City, where her father was teaching, and was raised in Kenya from the age of one".
Wewe ni nani hadi wabisha!?, ulikuwa nurse wa zamu dada!?.
Shukrani na wewe Mungu akujalie yaliyokuwa mema.Shukran MKUU Mungu azidi kukupa afya tele tele
Hv hawa jamaa katika masuala yakidiplomasia na US wapo vyema sana ama ?!
Hawa Televisa katika production ni hatari sana.Kwny unyama wa zerozerozero..acha mchezo hiyo SEASON...ila kipindi cha nyuma sana kuna tamthilia nilikua naikubali sana inaitwa The Gardener daughter..
naam hakika nimekuelewa na lengo kuu lilitaka kugusia ule ule u wall[emoji4][emoji3]Shukrani na wewe Mungu akujalie yaliyokuwa mema.
Katika diplomasia hamna uwezekano wa 100% lazima tashtiti za hapa na pale ziwepo. Overall diplomasia ipo vizuri isipokuwa suala la wahamiaji na ukuta wa Trump.
😁😁 Unanitaftia visa na Wamarekani wewe.naam hakika nimekuelewa na lengo kuu lilitaka kugusia ule ule u wall[emoji4][emoji3]
Hawa Televisa katika production ni hatari sana.
Waigizaji wananufaika vilivyo, waigizaji wengi wa KiMexicana wanao ukwasi wa kuanzia $10 Millioni hadi $70 Millioni. Wale chipukizi wakizichanga vyema wanacheza hadi $5 Million.Vipi hali za kimaisha za hao wasanii wake individually au ni kama huku tu sema ndo vile kupendeza sana mambo ya insta kwa sana ila life situation ni kawaida tu?? isajorsergio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] Unanitaftia visa na Wamarekani wewe.
Bado! Hajamaliza kujenga, amejenga kwa vipande vipande maeneo baadhi hasa California then Texas huku Arizona na New Mexico likiwa na sehemu kidogo zaidi.Shukrani kwa makala mkuu...vipi Trump kajenga ule ukuta alioahidi ili kuwazuia raia wa Mexico kuingia Marekani?
Magenge ya wauza unga hasa hasa 'Sinaloa cartel' na 'Los zetas'bado yana nguvu huko?
¡Gracias! ¿Cómo estás?Buena suerte
Kwahiyo Lupita Nyon'go ni mzaliwa na raia wa Mexico!!!!?
Wakenya ni waongo sana maana kila kizuri wanasemaga ni chao.
Asante Sana mkuu Mungu akuzidishie afya njema!
Hakika!¡Gracias isajorsergio!
Mataifa ya North America yanatisha kwa maendeleo! Ila napenda kufuatilia drama zao,Telemundo.Wakati mwingine nakuta wanaziita sijui Telenovela mara Televisa!
Ila hawa Trump asingewajengea ukuta angewapa tu California huo ukuta wangeujenga wao wenyewe bila kuomba hata senti tano ya Marekani!😅😅
Naona ni mfuatiliaji mzuri sana, Secret de Amor, Passion de Gavillanes, La Tormento na Jane The Virgin ni nzuri sana.Asante Sana mkuu Mungu akuzidishie afya njema!
Hawa jamaa mi NI mpenzi wa tamthilia zao Kama
TODO SOBRE CAMILA
LA TORMENTO
JANE THE VIRGIN
MY SWEET FAT VALENTINA
CATALINA Y SEBASTIAN
MY 3 SISTERS
MARIA DE LOS ANGELE' S
SECRET DE AMOR
REBECCA
EL CARTEL
PASSION DE GAVILLANES
GABRIELLA
Pia NI mnazi wa timu yao ya taifa ya mpira wa miguu!
Asante Sana mkuu Mungu akuzidishie afya njema!
Hawa jamaa mi NI mpenzi wa tamthilia zao Kama
TODO SOBRE CAMILA
LA TORMENTO
JANE THE VIRGIN
MY SWEET FAT VALENTINA
CATALINA Y SEBASTIAN
MY 3 SISTERS
MARIA DE LOS ANGELE' S
SECRET DE AMOR
REBECCA
EL CARTEL
PASSION DE GAVILLANES
GABRIELLA
Pia NI mnazi wa timu yao ya taifa ya mpira wa miguu!