Mexico | Estados Unidos Mexicanos

Mexico | Estados Unidos Mexicanos

Shukran MKUU Mungu azidi kukupa afya tele tele
Hv hawa jamaa katika masuala yakidiplomasia na US wapo vyema sana ama ?!
Shukrani na wewe Mungu akujalie yaliyokuwa mema.

Katika diplomasia hamna uwezekano wa 100% lazima tashtiti za hapa na pale ziwepo. Overall diplomasia ipo vizuri isipokuwa suala la wahamiaji na ukuta wa Trump.
 
IMG 450 Toluca.jpg

Hii ni manispaa ya Toluca pembezoni kidogo ya jiji la Mexico City.

Ni kama kilomita 60 kutoka Mexico City na takribani dakika 35 - 45.
 
Shukrani na wewe Mungu akujalie yaliyokuwa mema.

Katika diplomasia hamna uwezekano wa 100% lazima tashtiti za hapa na pale ziwepo. Overall diplomasia ipo vizuri isipokuwa suala la wahamiaji na ukuta wa Trump.
naam hakika nimekuelewa na lengo kuu lilitaka kugusia ule ule u wall[emoji4][emoji3]
 
Vipi hali za kimaisha za hao wasanii wake individually au ni kama huku tu sema ndo vile kupendeza sana mambo ya insta kwa sana ila life situation ni kawaida tu?? isajorsergio
Waigizaji wananufaika vilivyo, waigizaji wengi wa KiMexicana wanao ukwasi wa kuanzia $10 Millioni hadi $70 Millioni. Wale chipukizi wakizichanga vyema wanacheza hadi $5 Million.
 
Shukrani kwa makala mkuu...vipi Trump kajenga ule ukuta alioahidi ili kuwazuia raia wa Mexico kuingia Marekani?

Magenge ya wauza unga hasa hasa 'Sinaloa cartel' na 'Los zetas'bado yana nguvu huko?
 
Shukrani kwa makala mkuu...vipi Trump kajenga ule ukuta alioahidi ili kuwazuia raia wa Mexico kuingia Marekani?

Magenge ya wauza unga hasa hasa 'Sinaloa cartel' na 'Los zetas'bado yana nguvu huko?
Bado! Hajamaliza kujenga, amejenga kwa vipande vipande maeneo baadhi hasa California then Texas huku Arizona na New Mexico likiwa na sehemu kidogo zaidi.

Nguvu sio kali kama kipindi cha mtandaza reli "El Chapo" kutokana na Amerika (Kaskazini, Karibi na Kusini) kuungana kufanya oparesheni tokomeza.
 
¡Gracias isajorsergio!
Mataifa ya North America yanatisha kwa maendeleo! Ila napenda kufuatilia drama zao,Telemundo.Wakati mwingine nakuta wanaziita sijui Telenovela mara Televisa!
Ila hawa Trump asingewajengea ukuta angewapa tu California huo ukuta wangeujenga wao wenyewe bila kuomba hata senti tano ya Marekani!😅😅
 
Hakika!

Televisa ni kampuni ikiwa na miamvuli ya Televisa, Telemundo, Telenovela, Telesports na nyingine nyingi.

Hahaha California, Arizona, New Mexico na Texas zamani zilikuwa chini ya Mexico kabla ya vita!
 
Asante Sana mkuu Mungu akuzidishie afya njema!
Hawa jamaa mi NI mpenzi wa tamthilia zao Kama

TODO SOBRE CAMILA

LA TORMENTO

JANE THE VIRGIN

MY SWEET FAT VALENTINA

CATALINA Y SEBASTIAN

MY 3 SISTERS

MARIA DE LOS ANGELE' S

SECRET DE AMOR

REBECCA

EL CARTEL

PASSION DE GAVILLANES

GABRIELLA

Pia NI mnazi wa timu yao ya taifa ya mpira wa miguu!
Naona ni mfuatiliaji mzuri sana, Secret de Amor, Passion de Gavillanes, La Tormento na Jane The Virgin ni nzuri sana.
 
Asante Sana mkuu Mungu akuzidishie afya njema!
Hawa jamaa mi NI mpenzi wa tamthilia zao Kama

TODO SOBRE CAMILA

LA TORMENTO

JANE THE VIRGIN

MY SWEET FAT VALENTINA

CATALINA Y SEBASTIAN

MY 3 SISTERS

MARIA DE LOS ANGELE' S

SECRET DE AMOR

REBECCA

EL CARTEL

PASSION DE GAVILLANES

GABRIELLA

Pia NI mnazi wa timu yao ya taifa ya mpira wa miguu!

Yalitza Aparacio.jpeg

Hii ni moja ya scene katika filamu za Yalitza Aparicio chini ya muongozaji Alfonso Cuarón.
 
Back
Top Bottom