ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kila mtu duniani ni mjinga ni nyakati tu zinatofautiana kuoneshana ujingaUjinga mwingine ni exceptional.
Huyu jamaa anaaikili sana lakini pia ni mbunifu kwa maana wajinga ndio waliwaoHuko Mexico Kuna mchungaji mmja wa Kanisa la Kilokole ameingiza Mamilioni ya pesa Kwa mauzo ya viwanja vya Kanisa lake vilivyopo Mbinguni.
Bwana huyo amedai Alipewa Kibali na Mungu kufanya mauzo hayo mwaka 2017 hivyo Waumini wachangamkie mapema kabla havijaisha.
View attachment 3081145
My Take
Hivi viwanja vipo kiroho sio kimwili 😂😂😂😂😂
Bora wewe uliyekiri ujinga unatofautiana tu nyakatiSema tusimcheke Tanzania tushawahi tangaza watu wakafate kikombe cha Babu huko Loliondo na watu walifurika kweli...
Pastor Ili aziwasilishe Kwa MunguPesa za mbinguni anapokea nani
Mimi sikwenda niliwashangaa sana waliokua busy na huo ujinga..Bora wewe uliyekiri ujinga unatofautiana tu nyakati
Mie km kucheka ntawacheka hao waumini wataonunua hivo viwanja.Sema tusimcheke Tanzania tushawahi tangaza watu wakafate kikombe cha Babu huko Loliondo na watu walifurika kweli...
Wameshanunua na vya awamu ya kwanza vimeisha 😂😂Mie km kucheka ntawacheka hao waumini wataonunua hivo viwanja.
Wale walioenda kwa Babu waliowatupa ndugu zao kule kwa kushindwa kuwabeba baada ya kufa hauwacheki?Mie km kucheka ntawacheka hao waumini wataonunua hivo viwanja.