Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Huko maji, umeme upo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna dini ziingine mpaka unajiuliza Waumini wao wapoje? Hata common sense mtu unashindwa kutumia??Huko Mexico Kuna mchungaji mmja wa Kanisa la Kilokole ameingiza Mamilioni ya pesa Kwa mauzo ya viwanja vya Kanisa lake vilivyopo Mbinguni.
Bwana huyo amedai Alipewa Kibali na Mungu kufanya mauzo hayo mwaka 2017 hivyo Waumini wachangamkie mapema kabla havijaisha.
View attachment 3081145
My Take
Hivi viwanja vipo kiroho sio kimwili 😂😂😂😂😂
Huko Mexico Kuna mchungaji mmja wa Kanisa la Kilokole ameingiza Mamilioni ya pesa Kwa mauzo ya viwanja vya Kanisa lake vilivyopo Mbinguni.
Bwana huyo amedai Alipewa Kibali na Mungu kufanya mauzo hayo mwaka 2017 hivyo Waumini wachangamkie mapema kabla havijaisha.
View attachment 3081145
My Take
Hivi viwanja vipo kiroho sio kimwi
Hata kama ni vya kiroho haviwezi uzwa kwa fedha. Mungu si masikini kwani fedha na Mali zote ni vyake.Kama habari hii ni kweli,basis shetani ameanza kutumia ujinga wa wanadamu wa kutokumjua Mungu ili aende jehanamu na wengiWale walioenda kwa Babu waliowatupa ndugu zao kule kwa kushindwa kuwabeba baada ya kufa hauwacheki?
Kumbe huko nako kuna wajinga. Mimi nilidhani wajinga wapo Tanzania tu.Huko Mexico Kuna mchungaji mmja wa Kanisa la Kilokole ameingiza Mamilioni ya pesa Kwa mauzo ya viwanja vya Kanisa lake vilivyopo Mbinguni.
Bwana huyo amedai Alipewa Kibali na Mungu kufanya mauzo hayo mwaka 2017 hivyo Waumini wachangamkie mapema kabla havijaisha.
View attachment 3081145
My Take
Hivi viwanja vipo kiroho sio kimwili 😂😂😂😂😂
Ujiñga ni mtaji
Subiri kidogo wapo njiani wanakuja. Wakifika tutawasikia.
Pastor anatoa risiti halali tena ya efd?Pastor Ili aziwasilishe Kwa Mungu
Pesa za mbinguni ni Us dollar ( zenye in God we Trust) au ni hizihizi Tzs??Pesa za mbinguni anapokea nani
Hapo ni suala la mahusiano baina ya pande mbili zilizopo mahali. Nafasi ya Mchungaji ni Kiongozi au Mwelekezaji na na nafasi ya kondoo ni wanaoamini au Wafuasi.Hivi hawa kwanini walijiita "wachungaji" na wenzao "kondoo"?
Hapa ndio shida ilipoanzia!
Ata wewe ni mjinga ni swala la muda tu..Ujinga mwingine ni exceptional.
Mwe! Nawe unataka maziwa na asali?Naweka kambi
Hii imekaa vzr, ngoja niwahi kui implement hii idea kwa mazombie ya bongo, yenye maisha magumu, ukiyaambia, "msijari, saana maisha ya hapa, we mtolee mungu Sana, uweke akiba yako mbinguni, riba ya huko ni asilimia 1000,utakuta mpunga wako huko, utanunua V8, utaishi kwenye nyumba kama bakheresa, nk, "Huko Mexico Kuna mchungaji mmja wa Kanisa la Kilokole ameingiza Mamilioni ya pesa Kwa mauzo ya viwanja vya Kanisa lake vilivyopo Mbinguni.
Bwana huyo amedai Alipewa Kibali na Mungu kufanya mauzo hayo mwaka 2017 hivyo Waumini wachangamkie mapema kabla havijaisha.
Taarifa hii ililipotiwa 28 June, 2024
My Take
Hivi viwanja vipo kiroho sio kimwili 😂😂😂😂😂