Mexico: Mchungaji wa Kanisa auza Viwanja vya Mbinguni,mita ya mraba TSH. 265,000 adai alipewa kibali na Mungu

Mexico: Mchungaji wa Kanisa auza Viwanja vya Mbinguni,mita ya mraba TSH. 265,000 adai alipewa kibali na Mungu

Ukristo unadhalilika sana miaka hii.

Ukristo naufananisha na OS ya Android, kila mtu anaweza kujifanyia customization anavyojisikia wakati uislam ni kama OS ya Apple(iOS), hapa hakuna customization....

Ukristo unafanyiwa customization kila kukicha, ni aibu.
Kwani hizo hadithi si ni Customization tu kama hawa wengine? The difference ni modules zilizotumika kufanya watu waamini.
 
Back
Top Bottom