Ukristo unadhalilika sana miaka hii.
Ukristo naufananisha na OS ya Android, kila mtu anaweza kujifanyia customization anavyojisikia wakati uislam ni kama OS ya Apple(iOS), hapa hakuna customization....
Ukristo unafanyiwa customization kila kukicha, ni aibu.