Meya ashushiwa kipigo kikali kikaoni, aokolewa na walinzi wa Manispaa, akimbizwa hospitalini

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Zuber Kidumo amejikuta akichezea kichapo kikali kutoka kwa diwani mwenzake,ABUU SHAYO wakati akiendesha kikao cha kamati Ya Mipango miji na Ardhi katika manispaa hiyo.

Tukio hilo limetokea leo majira ya saa sita mchana mjini Moshi,wakati kamati hiyo ikiendelea na kikao chake ,ambapo wajumbe wa kamati hiyo walikuwa wakiuliza maswali mbalimbali kwa mstahiki meya huyo ili kupata ufafanuzi wa masuala ambayo wanaona hayako sawa.

Mmoja Ya wajumbe wa kamati hiyo Abuu Shayo ambaye ni diwani wa kata Ya mji Mpya,katika manispaa hiyo,alihoji mchanganuo wa sh,milioni 50 zilizotumika kwenye ujenzi wa madarasa mawili Ya shule Ya msingi ,wakati kunafedha kiasi cha sh,Milioni 20 zilizotolewa na Rais Samia Suhulu na kutosha ujenzi wa darasa pamoja na madawati yake.

Taarifa zimedai kuwa Meya alimjibu kuwa taarifa za ujenzi wa madarasa hayo zitatolewa kwenye kata yake ,hata hivyo diwani huyo alionesha kutoridhika na majibu hayo kwa sababu Meya alimwahidi kumjibu katika kikao hicho.

Diwani huyo hakuishia hapo aliomba kuuliza swali jingine ambapo alihoji matumizi Ya sh,milioni 920 zilizotumika kujenga ukuta unaozunguka Manispaa hiyo usiopigwa hata plasta wakati kuna jengo la Gorofa pamoja na ofisi za watendaji ziligharibu kiasi cha sh,bilioni 1na kudai kuna kuna harufu Ya upigaji kwenye ujenzi wa ukuta.

Swali hilo lilimkasirisha meya huyo ambapo alishuka kutoka kiti cha mbele alikokuwa ameketi na kumfuata diwani huyo aliyekuwa ameketi viti vya wajumbe na kumkwida kwa kumshika tai akidai amezidi kuuliza maswali ya kuchokonoa vitu kila siku.

Lakini Meya huyo alijikuta akiambulia kipigo Kikali kwa kupigwa makofi , mateke na kugaragazwa Chini na kupigwa na chupa za maji na baadaye aliokolewa na walinzi wa Halmashauri hiyo akiwa amelowa chepe .

Askari hao wa manispaa walimwokoa kwa kumtoa nje,huku wakionekana kufurahia kipigo alichokipata,walisikika wakisema "amezidi kiherere .

Akiongelea kadhia hiyo Abuu Alisema" Ni kweli Mimi Nilihoji Kuhusu Fedha Za Uma Lakini Nikashangaa Mtu Anakuwa Mkali Na Kuna Fununu Kahongwa Zaidi Ya Milion 30 Yeye Na Mwenzake Yote Hii Ni Rushwa Tupu sasa Nauliza Yeye Anakuja Nishika Shati Na Kuanza Kunishambulia.

Meya Zuber alisikika akisema"anamshukuru sana Diwani Wa Kiusa Na Walinzi Wa Halmashauri kwa kutuliza vurugu na kumwokoa na kusisitiza kuwa Taarifa zaidi ataitoa akitoka Hospitali.

Hata hivyo alipopigiwa simu majira ya jioni alijibu kwa kifupi kuwa hajatofautiana na mtu yoyote na kukata simu .

Hata hivyo alipopigiwa simu majira ya jioni alijibu kwa kifupi kuwa hajatofautiana na mtu yoyote na kukata simu .[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ni Genge la Wanyang'anyi na Mashetani
 
Hamna video?
 
Hii ndio iwe dawa kwa mafisadi.
Akishindwa kueleza pesa zilivyotumika ashushiwe kipigo.
Mahakamani hakuna haki, utashangaa fisadi linakufunga kwa kuhonga pesa ile ile anayoshtakiwa kufisadi.
 
Na hawa wa DP World tuwafanyeje, jamani!!!

Maana inaonekana hawatofautiani kabisa na tabia za huyo meya aliyechakazwa hapo.
 
Video ingependeza sana
 
Na bado
 
Wamemkosea sana huyo meya. Wangemvua nguo zote tu halafu arudi nyumbani kwa miguu.
 
"Hii Nchi wapinzani walituchelewesha sana. Nichagulieni viongozi wa CCM nilete maendeleo." Alisikika Mwendazake.

Washaanza kupigana wenyewe.
 
Viongozi WA Moshi bhana miaka nenda rudi tabia zao ni zile zile ,

Meya yeyote akijikuta mbinafsi au mtu ambae hapendi kupiga hela za umma, kimya kimya wanamuundia kamati hapo watamsagia kunguni mpaka wahakikishe si meya tena

Nakumbuka Juma raibu alivyo tengenezewa matukio Kwa sababu walimhisi ana ubinafsi wakupiga ela za umma , yote yakafeli kumwangusha

Alipokuja kujichanganya kuhudhiria kikao cha mashoga ,
Wakaona hii ndo Gia, Halloo walimchezea picha la kutisha hata kaa asahau

Kwanza kikao cha dharura kiliitishwa ,wananchi wakapangwa alivyo ingia Tu matusi kama yote... hata nafasi ya kumsikiliza hawakumpa alivyotoka nje sasa akakutana na kizaa zaa cha wananchi matusi... hata gari la serikali hawakumwacha aondoke nalo aliishia kuondoka na boda boda

Kwa ufupi walimdhalilisha kama mwizi WA kuku .

"Wachaga na Ela .
 
Angeongezewa kipigo Hadi ang'olewe meno fisadi mkubwa huyo..

Anyway sio jambo la ajabu wabunge na madiwani kuzichapa hasa kwenye Mjadala.

Hapo juzi huko Cossovo mbunge wa upinzani walichaba picha ya PM wao na kimwagia maji akiwa anahutubia kiasi vurugu kubwa ikazuka bungeni baina ya wabunge wa upinzani na WA Serikali.

Upinzani wangekuwepo Bungeni wangezichapa na wa Serikali kwenye issue ya DP World 🤣🤣
 
Kila nikiangalia viingozi wote wa CCM wamemgeuka Magufuli kwa 100%.

Sisikii milio ya sera ya viwanda tena

. SGR kimya

. Aliowakataa wote wamepewa tena uwaziri na taasisi kubwa kubwa

. Sheria za maliasili zinabadilishwa

. Kuhamia Dodoma imekuwa ndoto

. Rushwa na ufisadi vimepamba moto

. Bandari bandari bandari inakwenda

. Misitu inapewa waarabu.

. CCM VIONGOZI ngazi zote hakuna kubadilishwa vituo vyao vya kaxi baafa ya uchaguzi mkuu wa chama 2022.

. Ziara za nje kibao kwenda kusainisha mikataba huko china na uarabuni

Mengi ni aibu tu!!
 
Viongozi WA Moshi bhana miaka nenda rudi tabia zao ni zile zile ,

Meya yeyote akijikuta mbinafsi au mtu ambae hapendi kupiga hela za umma, kimya kimya wanamuundia kamati hapo watamsagia kunguni mpaka wahakikishe si meya tena

Nakumbuka Juma raibu alivyo tengenezewa matukio Kwa sababu walimhisi ana ubinafsi wakupiga ela za umma , yote yakafeli kumwangusha

Alipokuja kujichanganya kuhudhiria kikao cha mashoga ,
Wakaona hii ndo Gia, Halloo walimchezea picha la kutisha hata kaa asahau

Kwanza kikao cha dharura kiliitishwa ,wananchi wakapangwa alivyo ingia Tu matusi kama yote... hata nafasi ya kumsikiliza hawakumpa alivyotoka nje sasa akakutana na kizaa zaa cha wananchi matusi... hata gari la serikali hawakumwacha aondoke nalo aliishia kuondoka na boda boda

Kwa ufupi walimdhalilisha kama mwizi WA kuku .

"Wachaga na Ela .
Pole sana ndg Raibu kwa yaliyokukuta...ila elewa mambo ya upinde kwenye jamii zetu hayakubaliki.
 
Back
Top Bottom