Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache wauane.Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Zuber Kidumo amejikuta akichezea kichapo kikali kutoka kwa diwani mwenzake, Abuu Shayo, wakati akiendesha kikao cha Kamati ya Mipango Miji na Ardhi katika manispaa hiyo.
Tukio hilo limetokea leo majira ya saa sita mchana mjini Moshi, wakati kamati hiyo ikiendelea na kikao chake, ambapo wajumbe wa kamati hiyo walikuwa wakiuliza maswali mbalimbali kwa Mstahiki Meya huyo ili kupata ufafanuzi wa masuala ambayo wanaona hayako sawa.
Mmoja ya wajumbe wa kamati hiyo, Abuu Shayo, ambaye ni diwani wa Kata ya Mji Mpya katika manispaa hiyo, alihoji mchanganuo wa shilingi milioni 50 zilizotumika kwenye ujenzi wa madarasa mawili ya shule ya msingi, wakati kunafedha kiasi cha shilingi milioni 20 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu ambazo zingetosha kwa ujenzi wa darasa pamoja na madawati yake.
Taarifa zimedai kuwa Meya alimjibu kuwa taarifa za ujenzi wa madarasa hayo zitatolewa kwenye kata yake, hata hivyo diwani huyo alionesha kutoridhika na majibu hayo kwa sababu Meya alimwahidi kumjibu katika kikao hicho.
Diwani huyo hakuishia hapo, aliomba kuuliza swali lingine ambapo alihoji matumizi ya shilingi milioni 920 zilizotumika kujenga ukuta unaozunguka manispaa hiyo usiopigwa hata plasta, wakati kuna jengo la gorofa pamoja na ofisi za watendaji zilizogharamia kiasi cha shilingi bilioni 1, na kudai kuna harufu ya upendeleo kwenye ujenzi wa ukuta.
Swali hilo lilimkasirisha meya huyo, ambapo alishuka kutoka kiti cha mbele alikokuwa ameketi na kumfuata diwani huyo aliyekuwa ameketi viti vya wajumbe na kumkwida kwa kumshika tai akidai amezidi kuuliza maswali ya kuchokonoa vitu kila siku.
Lakini meya huyo alijikuta akiambulia kipigo kikali kwa kupigwa makofi, mateke, kugaragazwa chini, na kupigwa na chupa za maji, na baadaye aliokolewa na walinzi wa Halmashauri hiyo akiwa amelowa chepe.
Askari hao wa manispaa walimwokoa kwa kumtoa nje, huku wakionekana kufurahia kipigo alichokipata. Walisikika wakisema "amezidi kiherehere".
Akiongelea kadhia hiyo, Abuu alisema, "Ni kweli mimi nilihoji kuhusu fedha za umma, lakini nikashangaa mtu anakuwa mkali na kuna fununu kahongwa zaidi ya milioni 30 yeye na mwenzake. Yote hii ni rushwa tupu, sasa nauliza, yeye anakuja nishika shati na kuanza kunishambulia".
Meya Zuber alisikika akisema, "Anamshukuru sana Diwani wa Kiusa na walinzi wa Halmashauri kwa kutuliza vurugu na kumwokoa, na kusisitiza kuwa taarifa zaidi ataitoa akitoka hospitalini."
Hata hivyo, alipopigiwa simu majira ya jioni, alijibu kwa kifupi kuwa hajatofautiana na mtu yoyote na kukata simu.
Kumbe yule hakurudishwa? Nilijua kidampa alirudi ktk kiti chake.Huko Moshi hiki cheo cha umeya wakitoe tu maana inaonekana wote wanaokishika vichwani ni hamnazo.
Nakumbuka kusoma humu aliyemtangulia huyu nae alihisiwa kuwa ms£πge baada ya kuandaa na kufanya party ya was£πge na kukatika viuno hadharani shanga zikimvuka.
Hii nchi hata uwe na Elimu au weledi ktk utwndaji wa majukumu Fulani, ukiwa au ukijihusisha na Ushoga, bas hapo kwishaaaa kabisaa.Viongozi WA Moshi bhana miaka nenda rudi tabia zao ni zile zile ,
Meya yeyote akijikuta mbinafsi au mtu ambae hapendi kupiga hela za umma, kimya kimya wanamuundia kamati hapo watamsagia kunguni mpaka wahakikishe si meya tena
Nakumbuka Juma raibu alivyo tengenezewa matukio Kwa sababu walimhisi ana ubinafsi wakupiga ela za umma , yote yakafeli kumwangusha
Alipokuja kujichanganya kuhudhiria kikao cha mashoga ,
Wakaona hii ndo Gia, Halloo walimchezea picha la kutisha hata kaa asahau
Kwanza kikao cha dharura kiliitishwa ,wananchi wakapangwa alivyo ingia Tu matusi kama yote... hata nafasi ya kumsikiliza hawakumpa alivyotoka nje sasa akakutana na kizaa zaa cha wananchi matusi... hata gari la serikali hawakumwacha aondoke nalo aliishia kuondoka na boda boda
Kwa ufupi walimdhalilisha kama mwizi WA kuku .
"Wachaga na Ela .
Kweli, Binafsi naona Juma raibu alienda kuwachora tu wangese na haijihusishi na hizo mambo tatzo wale waliomuundia kamati wakaona ndo gia ya kumtoa kwenye kiti Kwa kuaminisha umma vile walivyotkaHii nchi hata uwe na Elimu au weledi ktk utwndaji wa majukumu Fulani, ukiwa au ukijihusisha na Ushoga, bas hapo kwishaaaa kabisaa.
Bora hata wasagaji/usagaji wana nafasi.
Upinde upi tena mkuu si tulikubalia na hizo ni zana za kale na kwasasa hazifai Kwa matumizi 🥴Pole sana ndg Raibu kwa yaliyokukuta...ila elewa mambo ya upinde kwenye jamii zetu hayakubaliki.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Zuber Kidumo amejikuta akichezea kichapo kikali kutoka kwa diwani mwenzake, Abuu Shayo, wakati akiendesha kikao cha Kamati ya Mipango Miji na Ardhi katika manispaa hiyo.