Meya ashushiwa kipigo kikali kikaoni, aokolewa na walinzi wa Manispaa, akimbizwa hospitalini

Meya Zuber alisikika akisema"anamshukuru sana Diwani Wa Kiusa Na Walinzi Wa Halmashauri kwa kutuliza vurugu na kumwokoa na kusisitiza kuwa Taarifa zaidi ataitoa akitoka Hospitali.

Hata hivyo alipopigiwa simu majira ya jioni alijibu kwa kifupi kuwa hajatofautiana na mtu yoyote na kukata simu .[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ni Genge la Wanyang'anyi na Mashetani
 
Hamna video?
 
Hii ndio iwe dawa kwa mafisadi.
Akishindwa kueleza pesa zilivyotumika ashushiwe kipigo.
Mahakamani hakuna haki, utashangaa fisadi linakufunga kwa kuhonga pesa ile ile anayoshtakiwa kufisadi.
 
Na hawa wa DP World tuwafanyeje, jamani!!!

Maana inaonekana hawatofautiani kabisa na tabia za huyo meya aliyechakazwa hapo.
 
Video ingependeza sana
 
Na bado
 
Wamemkosea sana huyo meya. Wangemvua nguo zote tu halafu arudi nyumbani kwa miguu.
 
"Hii Nchi wapinzani walituchelewesha sana. Nichagulieni viongozi wa CCM nilete maendeleo." Alisikika Mwendazake.

Washaanza kupigana wenyewe.
 
Viongozi WA Moshi bhana miaka nenda rudi tabia zao ni zile zile ,

Meya yeyote akijikuta mbinafsi au mtu ambae hapendi kupiga hela za umma, kimya kimya wanamuundia kamati hapo watamsagia kunguni mpaka wahakikishe si meya tena

Nakumbuka Juma raibu alivyo tengenezewa matukio Kwa sababu walimhisi ana ubinafsi wakupiga ela za umma , yote yakafeli kumwangusha

Alipokuja kujichanganya kuhudhiria kikao cha mashoga ,
Wakaona hii ndo Gia, Halloo walimchezea picha la kutisha hata kaa asahau

Kwanza kikao cha dharura kiliitishwa ,wananchi wakapangwa alivyo ingia Tu matusi kama yote... hata nafasi ya kumsikiliza hawakumpa alivyotoka nje sasa akakutana na kizaa zaa cha wananchi matusi... hata gari la serikali hawakumwacha aondoke nalo aliishia kuondoka na boda boda

Kwa ufupi walimdhalilisha kama mwizi WA kuku .

"Wachaga na Ela .
 
Angeongezewa kipigo Hadi ang'olewe meno fisadi mkubwa huyo..

Anyway sio jambo la ajabu wabunge na madiwani kuzichapa hasa kwenye Mjadala.

Hapo juzi huko Cossovo mbunge wa upinzani walichaba picha ya PM wao na kimwagia maji akiwa anahutubia kiasi vurugu kubwa ikazuka bungeni baina ya wabunge wa upinzani na WA Serikali.

Upinzani wangekuwepo Bungeni wangezichapa na wa Serikali kwenye issue ya DP World 🤣🤣
 
Kila nikiangalia viingozi wote wa CCM wamemgeuka Magufuli kwa 100%.

Sisikii milio ya sera ya viwanda tena

. SGR kimya

. Aliowakataa wote wamepewa tena uwaziri na taasisi kubwa kubwa

. Sheria za maliasili zinabadilishwa

. Kuhamia Dodoma imekuwa ndoto

. Rushwa na ufisadi vimepamba moto

. Bandari bandari bandari inakwenda

. Misitu inapewa waarabu.

. CCM VIONGOZI ngazi zote hakuna kubadilishwa vituo vyao vya kaxi baafa ya uchaguzi mkuu wa chama 2022.

. Ziara za nje kibao kwenda kusainisha mikataba huko china na uarabuni

Mengi ni aibu tu!!
 
Pole sana ndg Raibu kwa yaliyokukuta...ila elewa mambo ya upinde kwenye jamii zetu hayakubaliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…