"Meya" Boni Jacob: "Polisi wafuate sheria na katiba, sio kauli za watawala au wanasiasa."

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
..Boni Jacob amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu haki, siasa, katiba, na sheria.

..mojawapo ya mambo aliyoyatilia msisitizo ni jeshi la Polisi kuheshimu sheria na katiba badala ya kutekeleza maelekezo batili ya watawala na wanasiasa.

..fuatilia mahojiano yake na GlobalTv hapa chini.

Unadhani watakuwa wamekuelewa kweli?
 
..Boni Jacob amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu haki, siasa, katiba, na sheria.

..mojawapo ya mambo aliyoyatilia msisitizo ni jeshi la Polisi kuheshimu sheria na katiba badala ya kutekeleza maelekezo batili ya watawala na wanasiasa.

..fuatilia mahojiano yake na GlobalTv hapa chini.

Mashavu kama k flan hivi ya chuga ,makuku yamemuharibu huyu mlinzi wa Mbowe

USSR
 
..kuhusu ripoti ya CAG ameeleza kwamba wizi mwingi ktk halmashauri zetu haufanywi na mtu moja bali na magenge yanayowezeshwa na CCM.

..Meya Jacob amekwenda mbali zaidi na kulaumu ma-DSO / District Security Officer kwa kuzembea ktk kazi zao za kuchunguza mienendo ya watumishi wa umma ktk maeneo yao na kuzuia wizi wa fedha na mali za umma.
 
..Boni Jacob amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu haki, siasa, katiba, na sheria.

..mojawapo ya mambo aliyoyatilia msisitizo ni jeshi la Polisi kuheshimu sheria na katiba badala ya kutekeleza maelekezo batili ya watawala na wanasiasa.

..fuatilia mahojiano yake na GlobalTv hapa chini.

Naunga mkono hoja za huyu jamaa!.
P
 
Back
Top Bottom