Unadhani watakuwa wamekuelewa kweli?..Boni Jacob amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu haki, siasa, katiba, na sheria.
..mojawapo ya mambo aliyoyatilia msisitizo ni jeshi la Polisi kuheshimu sheria na katiba badala ya kutekeleza maelekezo batili ya watawala na wanasiasa.
..fuatilia mahojiano yake na GlobalTv hapa chini.
Unadhani watakuwa wamekuelewa kweli?
Mashavu kama k flan hivi ya chuga ,makuku yamemuharibu huyu mlinzi wa Mbowe..Boni Jacob amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu haki, siasa, katiba, na sheria.
..mojawapo ya mambo aliyoyatilia msisitizo ni jeshi la Polisi kuheshimu sheria na katiba badala ya kutekeleza maelekezo batili ya watawala na wanasiasa.
..fuatilia mahojiano yake na GlobalTv hapa chini.
Vipi kuhusu hoja yake ?Mashavu kama k flan hivi ya chuga ,makuku yamemuharibu huyu mlinzi wa Mbowe
USSR
Naunga mkono hoja za huyu jamaa!...Boni Jacob amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu haki, siasa, katiba, na sheria.