Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Wewe dada Mungu anakuona, wenzio KGB na sasa FSB Kwanza wanaaminishwa kutokuwepo kwa Mungu halafu wanakua morally bankrupt na wanakua huru kufanya uongo na uovu wa aina yoyote ile. We haya we wengine bado tunaaminishwa uwepo wa MunguWalivalia.. hakuona vitambulisho
Inaweza wakawa wenzake wa Chadema kwa asilimia kubwaaaa...
tetea ujingaNadhani wanatumia sare za jeshi na siyo jeshi >tukio la uvamizi wa Clouds Media kulikuwa na sare za jeshi.
Wee ni mtangazaji kutoka Radio 1.5 Azionekani FMBonge nyAnya Acha usanii
Sasa umeambiwa baba zao na polis(jwtz) ndo wapo hom kwako si utachanganikiwa kwanza ushndwe uanzie kuwashtak baba kwa mtot au ufanyeje?Huu ni mrejesho, kuna uzi alipandisha kuhusu kuvamiwa kwake na muda huo ndo alikuwa anaelekea kwake. Polisi ametoa taarifa baada ya kufika kwake na wao kufanya upekuzi... Huyu meya ni bure kiukweli.
Wale wa clouds fm walikuwa CDM??Walivalia.. hakuona vitambulisho
Inaweza wakawa wenzake wa Chadema kwa asilimia kubwaaaa...
Hahahaaaa huyo ndivyo alivyoWatu kama nyie ni bora kufuga mbuzi kuna siku utamla supu kuliko uwepo wenu!
Sio kwel tukpata shda ndo kimbilio letu,tunatoaga taarifa kama taratbu tuu ,ila hat wao ukiwapigia SMU umevamiwa watakaa lisaa ndo wajr kufka!!! Uliza Yale marisas 32 ya Dodoma walikaa muda gan bla kufka eneo la tukio!!!? Two hrs walikaa walikuja baada ya masaa mawil wakat ni mwendo wa dakka tano tuuKama ni kweli basi tunaelekea pabaya, matumizi mabaya ya nguvu za dola..
Ila bila vitambulisho, bila karatasi ya upekuzi, bila mwenyekiti wa serikali za mitaa kuwepo, majirani, inamaanisha hao siyo polisi au TISS..
lla tumkumbushe tu aliyeleta thread, tukisikia au kupewa taarifa za hawa wahuni, cha kwanza peleka taarifa polisi, kwamba kuna majambazi yamevamia..
Ndio taarifa kwanza polisi, wale wale tunaowaponda kukicha, ila tupatapo shida za kiusalama ndilo kimbilio letu..
Pole Meya Mstahiki..
Narrow Minded.kwanini kila kitu kinachotokea mnakimbilia kusema watawala. kwahiyo nchi hii uhalifu unafanywa na watawala tu.Reign of terror mpaka lini? Mtawala anayelazimisha kusujudiwa hawezi kudumu. Ni Mungu wa mbinguni tu anayestahili kusujudiwa.
Cctv za nyumbani kwake zinaonyeshaje? atutumie clip ndogo
Clouds Media walirekodi tukio lao katika CCTV. Waziri husika alipounda tume ya kuchunguza tukio hilo la uvamizi, hata wiki haikuisha akafukuzwa kazi. Sasa CCTV za Clouds zilisaidia nini hapo?Meya mwenye mbwembwe hivyo, huna hata security cameras ili upate kwa kuanzia!!!
Yaani kamanda alitakiwa awafanyie yale ya mjini, awaite majambazi mtaani, kuna watu wanamtukana JPM, kuna mtu anahamasisha maandamano ya 1.5tr, kuna watu wanalitukana jeshi la polisi, kuna watu wanataka kumchoma polisi, kuna watu wanachoma gari/pikipiki ya polisi...Angewadanganya polis kua kuna watu wamekuja kufanya mipango ya maandamolano nyumban kwake hapo wangefka na defenda hat kumi na maji ya kuwasha + na mabomu yaan hao wanao jiita jwtz wangechakazwa ndan ya sekunde kumi
Kuna wapumbavu hawatakuelewa hicho ulichosemaClouds Media walirekodi tukio lao katika CCTV. Waziri husika alipounda tume ya kuchunguza tukio hilo la uvamizi, hata wiki haikuisha akafukuzwa kazi. Sasa CCTV za Clouds zilisaidia nini hapo?
Siku zote usithubutu kujaribu ' makali ' ya Panga lililonolewa vizuri Shingoni mwako.
Lakini ukweli ulibaki kuwa ukweli sasa ya kwake vipiClouds Media walirekodi tukio lao katika CCTV. Waziri husika alipounda tume ya kuchunguza tukio hilo la uvamizi, hata wiki haikuisha akafukuzwa kazi. Sasa CCTV za Clouds zilisaidia nini hapo?