Meya Jacob: Nimetoa taarifa Polisi juu ya watu waolivalia sare za JWTZ na walichokifanya nyumbani kwangu

Meya Jacob: Nimetoa taarifa Polisi juu ya watu waolivalia sare za JWTZ na walichokifanya nyumbani kwangu

moja ya mambo yanayotia kinyaa Ni huu utamaduni unaotaka kuzoeleka wa kuvichafua vyombo vyetu nyeti jwtz,TISS huu ni mchezo mchafu sana hivi vyombo haviwezi jihusisha na siasa za kinguruwe pori hizo.
 
Angewadanganya polis kua kuna watu wamekuja kufanya mipango ya maandamolano nyumban kwake hapo wangefka na defenda hat kumi na maji ya kuwasha + na mabomu yaan hao wanao jiita jwtz wangechakazwa ndan ya sekunde kumi
 
Walivalia.. hakuona vitambulisho
Inaweza wakawa wenzake wa Chadema kwa asilimia kubwaaaa...
Wewe dada Mungu anakuona, wenzio KGB na sasa FSB Kwanza wanaaminishwa kutokuwepo kwa Mungu halafu wanakua morally bankrupt na wanakua huru kufanya uongo na uovu wa aina yoyote ile. We haya we wengine bado tunaaminishwa uwepo wa Mungu
 
Huu ni mrejesho, kuna uzi alipandisha kuhusu kuvamiwa kwake na muda huo ndo alikuwa anaelekea kwake. Polisi ametoa taarifa baada ya kufika kwake na wao kufanya upekuzi... Huyu meya ni bure kiukweli.
Sasa umeambiwa baba zao na polis(jwtz) ndo wapo hom kwako si utachanganikiwa kwanza ushndwe uanzie kuwashtak baba kwa mtot au ufanyeje?
 
Bony kama uliwapigia majirani karibu wote na hao watu walikaa zaidi ya lisaa limoja hapo kwako, kwanini majirani hawakupambana nao au kuwaona na kupiga kelele? Umesema wamepekua home kwako , yaani kupekuliwa tu unapanic utafikiri unataka kutolewa roho ..! Sasa tokea leo usijiite kamanda tena
 
Kama ni kweli basi tunaelekea pabaya, matumizi mabaya ya nguvu za dola..
Ila bila vitambulisho, bila karatasi ya upekuzi, bila mwenyekiti wa serikali za mitaa kuwepo, majirani, inamaanisha hao siyo polisi au TISS..
lla tumkumbushe tu aliyeleta thread, tukisikia au kupewa taarifa za hawa wahuni, cha kwanza peleka taarifa polisi, kwamba kuna majambazi yamevamia..
Ndio taarifa kwanza polisi, wale wale tunaowaponda kukicha, ila tupatapo shida za kiusalama ndilo kimbilio letu..
Pole Meya Mstahiki..
Sio kwel tukpata shda ndo kimbilio letu,tunatoaga taarifa kama taratbu tuu ,ila hat wao ukiwapigia SMU umevamiwa watakaa lisaa ndo wajr kufka!!! Uliza Yale marisas 32 ya Dodoma walikaa muda gan bla kufka eneo la tukio!!!? Two hrs walikaa walikuja baada ya masaa mawil wakat ni mwendo wa dakka tano tuu
 
Reign of terror mpaka lini? Mtawala anayelazimisha kusujudiwa hawezi kudumu. Ni Mungu wa mbinguni tu anayestahili kusujudiwa.
Narrow Minded.kwanini kila kitu kinachotokea mnakimbilia kusema watawala. kwahiyo nchi hii uhalifu unafanywa na watawala tu.
 
Cctv za nyumbani kwake zinaonyeshaje? atutumie clip ndogo
Meya mwenye mbwembwe hivyo, huna hata security cameras ili upate kwa kuanzia!!!
Clouds Media walirekodi tukio lao katika CCTV. Waziri husika alipounda tume ya kuchunguza tukio hilo la uvamizi, hata wiki haikuisha akafukuzwa kazi. Sasa CCTV za Clouds zilisaidia nini hapo?
 
Hii hali ni lazima itafutiwe suluhu ya kudumu. Kabisa kabisa!!!!!
 
Angewadanganya polis kua kuna watu wamekuja kufanya mipango ya maandamolano nyumban kwake hapo wangefka na defenda hat kumi na maji ya kuwasha + na mabomu yaan hao wanao jiita jwtz wangechakazwa ndan ya sekunde kumi
Yaani kamanda alitakiwa awafanyie yale ya mjini, awaite majambazi mtaani, kuna watu wanamtukana JPM, kuna mtu anahamasisha maandamano ya 1.5tr, kuna watu wanalitukana jeshi la polisi, kuna watu wanataka kumchoma polisi, kuna watu wanachoma gari/pikipiki ya polisi...
Angetumia tu ujanja wa mjini, ndipo ingejulikana kama wale majambazi ni kweli wanausalama au la...
 
Clouds Media walirekodi tukio lao katika CCTV. Waziri husika alipounda tume ya kuchunguza tukio hilo la uvamizi, hata wiki haikuisha akafukuzwa kazi. Sasa CCTV za Clouds zilisaidia nini hapo?
Kuna wapumbavu hawatakuelewa hicho ulichosema
 
Hivi huyu ndugu ni kutokana na kubanwa na kufanya 'tafiti' za kemia na 'kuvumbua' ndio akokosa muda wa kujifunza siasa na kusoma historia za wenzake waliofanya haya waliishia wapi?
 
Clouds Media walirekodi tukio lao katika CCTV. Waziri husika alipounda tume ya kuchunguza tukio hilo la uvamizi, hata wiki haikuisha akafukuzwa kazi. Sasa CCTV za Clouds zilisaidia nini hapo?
Lakini ukweli ulibaki kuwa ukweli sasa ya kwake vipi
 
Back
Top Bottom