Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe dada Mungu anakuona, wenzio KGB na sasa FSB Kwanza wanaaminishwa kutokuwepo kwa Mungu halafu wanakua morally bankrupt na wanakua huru kufanya uongo na uovu wa aina yoyote ile. We haya we wengine bado tunaaminishwa uwepo wa Mungu
Si ulishaambiwa waliiweka familia yake chini ya ulinzi, wangewezaje kuwaambia kwa majirani?
Kuna quote za James Mattis, retired 4star marine general US military currently DoD secretary kuhusu business of killing innocent by military personnelNambie nikivalia kijeshi nikaja kwako.. mimi ni mwanajeshi niliyeapishwa kwa kazi hiyo?
Huge empty head. You do not see the obvious!Narrow Minded.kwanini kila kitu kinachotokea mnakimbilia kusema watawala. kwahiyo nchi hii uhalifu unafanywa na watawala tu.
Tofautisha nguo za jeshi na wanajeshi...wanajeshi wanafanya kazi kwa utaratibu maalumu na hao waliovaa nguo za jeshi haa ww unaweza vaa na kulipaka matope jeshi kumbuka huyu meya ni wale waliotajwa na fulani kua ni watu hatari je huoni kama vitu vingine ni michezo yao wenyewe sasa kuanza kuipaka matope serikali??Wameanza kutumia jeshi sasa tumekwisha, muda wowote nchi itaingia kwenye machafuko
Yakitokea watu uhusisha nao kwa sababu havipaswi kutokea. Ni wajibu wa serikali kuyazuia haya. Watu hao wakikamatwa ni hatua moja kurejesha matumaini kwa wananchi wake. Tumeshaona watu wakivaa mavazi ya polisi wa barabarani na kukusanya fedha. Waanga hawasemi ni feki bali hulalamikia polisi trafiki mpaka inavyoonyesha dhairi si waoTofautisha nguo za jeshi na wanajeshi...wanajeshi wanafanya kazi kwa utaratibu maalumu na hao waliovaa nguo za jeshi haa ww unaweza vaa na kulipaka matope jeshi kumbuka huyu meya ni wale waliotajwa na fulani kua ni watu hatari je huoni kama vitu vingine ni michezo yao wenyewe sasa kuanza kuipaka matope serikali??
Hakuna cha jeshi wala nini hawa ni polisi tu wanaovalia sare za JWTZWameanza kutumia jeshi sasa tumekwisha, muda wowote nchi itaingia kwenye machafuko
Yeye badala ya kutaarifu polisi alipost twitter na kuomba msaada wa makamanda kama Mbowe...bila kujua Mbowe kasepa...kwanini Polisi hawakwenda nyumbani kwa Mstahiki Meya Jacob na kukabiliana na hao waliovamia na kufanya upekuzi?
Kutokana na maelezo hayo walikuwa na haki ya kuwashambulia kabisa.Na wewe bony acha ujinga... kwanini msilie wezi?
Acha wawakomeshe.... wananchi unao, uoga wa nini?
You have the right of self defense.
Nakumbuka lema alishawahi kupiga picha na mwanajeshi feki...pengine ndio hawa wanaotumika.Wameanza kutumia jeshi sasa tumekwisha, muda wowote nchi itaingia kwenye machafuko
Yeye badala ya kutaarifu polisi alipost twitter na kuomba msaada wa makamanda kama Mbowe...bila kujua Mbowe kasepa.
Polisi waende?, Wanaanzanje kulizuia kundi la makofuli la "wasio julikana"?..kwanini Polisi hawakwenda nyumbani kwa Mstahiki Meya Jacob na kukabiliana na hao waliovamia na kufanya upekuzi?
Bure ni mamakoHuu ni mrejesho, kuna uzi alipandisha kuhusu kuvamiwa kwake na muda huo ndo alikuwa anaelekea kwake. Polisi ametoa taarifa baada ya kufika kwake na wao kufanya upekuzi... Huyu meya ni bure kiukweli.