Meya Jacob: Nimetoa taarifa Polisi juu ya watu waolivalia sare za JWTZ na walichokifanya nyumbani kwangu

Meya Jacob: Nimetoa taarifa Polisi juu ya watu waolivalia sare za JWTZ na walichokifanya nyumbani kwangu

Wewe dada Mungu anakuona, wenzio KGB na sasa FSB Kwanza wanaaminishwa kutokuwepo kwa Mungu halafu wanakua morally bankrupt na wanakua huru kufanya uongo na uovu wa aina yoyote ile. We haya we wengine bado tunaaminishwa uwepo wa Mungu

Nambie nikivalia kijeshi nikaja kwako.. mimi ni mwanajeshi niliyeapishwa kwa kazi hiyo?
 
Si ulishaambiwa waliiweka familia yake chini ya ulinzi, wangewezaje kuwaambia kwa majirani?

Soma uelewe pls. Nimesema huyo meya ndio alipaswa kuwapigia majirani zake, kwani yeye ndio alitoa hizo taarifa la hiyo kadhia huku mitandaoni. Sasa kama nchi na dunia iliweza kujua muda huohuo ambapo uhuni ulikuwa unafanyika tena kwa yeye kuripoti, kipi kilimshinda kutaarifu majirani zake wakaizingira hiyo nyumba kufahamu toka lini wanajeshi wakakagua nyumba ya raia tena jioni bila kuwa na mjumbe wa mtaa nk?
 
Sasa Hivi na sisi tumepata,

Majuzi kuna mnadhimu wa zamani wa majeshi kakosa kupelekwa matibabu akiambiwa hakuna pesa hadi kufikia kuchangiwa na wastaafu wenzake

Kumbe kuna ambao wanapelekwa matibabu kwa kibali “maalum “
Ndio maana deni la India limepaaa kumbe kuna Raia special vibali havipitiii tena mchakato rasmi
cd92f75d-e07b-4f6c-abf4-9307a96cd870.jpg
 
Nambie nikivalia kijeshi nikaja kwako.. mimi ni mwanajeshi niliyeapishwa kwa kazi hiyo?
Kuna quote za James Mattis, retired 4star marine general US military currently DoD secretary kuhusu business of killing innocent by military personnel
 
Wameanza kutumia jeshi sasa tumekwisha, muda wowote nchi itaingia kwenye machafuko
Tofautisha nguo za jeshi na wanajeshi...wanajeshi wanafanya kazi kwa utaratibu maalumu na hao waliovaa nguo za jeshi haa ww unaweza vaa na kulipaka matope jeshi kumbuka huyu meya ni wale waliotajwa na fulani kua ni watu hatari je huoni kama vitu vingine ni michezo yao wenyewe sasa kuanza kuipaka matope serikali??
 
Tofautisha nguo za jeshi na wanajeshi...wanajeshi wanafanya kazi kwa utaratibu maalumu na hao waliovaa nguo za jeshi haa ww unaweza vaa na kulipaka matope jeshi kumbuka huyu meya ni wale waliotajwa na fulani kua ni watu hatari je huoni kama vitu vingine ni michezo yao wenyewe sasa kuanza kuipaka matope serikali??
Yakitokea watu uhusisha nao kwa sababu havipaswi kutokea. Ni wajibu wa serikali kuyazuia haya. Watu hao wakikamatwa ni hatua moja kurejesha matumaini kwa wananchi wake. Tumeshaona watu wakivaa mavazi ya polisi wa barabarani na kukusanya fedha. Waanga hawasemi ni feki bali hulalamikia polisi trafiki mpaka inavyoonyesha dhairi si wao
 
Bonny labda kunakitu umeficha au wamekuficha wanao na mkeo . Usikute wamebakwa huku wakirecordiwa.
 
...mmeshaambiwa kila siku anzeni kujilinda ...pambaneni na hao watu wasiojulikna...kulialia na kushtaki polisi haitawasaidia....na nyie pambaneni nao..waueni ili iwe fundisho...acheni kulialia...
 
..kwanini Polisi hawakwenda nyumbani kwa Mstahiki Meya Jacob na kukabiliana na hao waliovamia na kufanya upekuzi?
Yeye badala ya kutaarifu polisi alipost twitter na kuomba msaada wa makamanda kama Mbowe...bila kujua Mbowe kasepa.
 
Na wewe bony acha ujinga... kwanini msilie wezi?
Acha wawakomeshe.... wananchi unao, uoga wa nini?
You have the right of self defense.
Kutokana na maelezo hayo walikuwa na haki ya kuwashambulia kabisa.

Mimi nashangaa sana hawa viongozi wa Chadema,hivi hawana walinzi nyumbani kwao?hawana silaha?

Sare za majeshi yetu sio kitambulisho,watakuja wahuni wakivalia sare za jeshi na kuwatendea mabaya kisha jeshi haliwatambui,ni wahuni tu.
 
Yeye badala ya kutaarifu polisi alipost twitter na kuomba msaada wa makamanda kama Mbowe...bila kujua Mbowe kasepa.

..polisi wanatakiwa wawepo kila mahali, twitter, facebook, jf, etc etc.

.
 
Hawakuangalia vizuri kama bashite ni miongoni mwao? Hii nchi ukiwa mpinzani kwa nini unakuwa adui wa ccm na serikali?
 
Huu ni mrejesho, kuna uzi alipandisha kuhusu kuvamiwa kwake na muda huo ndo alikuwa anaelekea kwake. Polisi ametoa taarifa baada ya kufika kwake na wao kufanya upekuzi... Huyu meya ni bure kiukweli.
Bure ni mamako
 
Back
Top Bottom