Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

Phillemon Mikael

Platinum Member
Joined
Nov 5, 2006
Posts
10,557
Reaction score
8,673
Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipango mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujengwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi.

Hakuna anayekataa watu kuswali, lakini wangeweza kutenga maeneo ambayo sio ya kudumu kama ilivyokuwa awali kuruhusu waislamu au wakristo wanaohitaji huduma hiyo

1711964510547.jpeg
 
Hapo wamekosea sana,wakristo nao wakitaka wamegewe eneo wajenge kanisa je??

Hilo deal la watu,waliotoa fedha kujenga hapo Kuna eneo wamepewa bure na sirikali yetu,hapo ni kama sadaka ya shukrani kwa deal walilopiga na watawala!!
 
Back
Top Bottom