Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

Mwamposa akitoka kawe naye atahamia hapo
Mazingira ni tofauti kanisani ni mpk jmoc na j2 hivyo kanisa hata likiwa mbali sio tatizo ila msikiti swala ikifika muda huo huo lazima mswali, wewe huoni Hospital ya taifa ya Muhimbili kuni msikiti na makanisa mawili
 
wakristo nao wapewe kipande wajenge kanisa. hapatakiwi kuwa na upendeleo labda kwa sababu mtawala ni wa dini yao.
 
Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipango mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujengwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi.

Hakuna anayekataa watu kuswali, lakini wangeweza kutenga maeneo ambayo sio ya kudumu kama ilivyokuwa awali kuruhusu waislamu au wakristo wanaohitaji huduma hiyo

View attachment 2950662
NIlisikia pia kwamba pale Mwenge, Magufuli Bus Stsnd, Airport, Stand za SGR, na maeneo mengine yote ya Public itajengwa misikiti ili kuwawezesha ndugu zetu waislam kuswali popote watakapo kuwepo. Pia wakiwa wanajenga makanisa yao, serikali itakuwa inawachangia pesa na mengineyo.

Wakristo na wengineo wao wameruhusiwa kuendelea na utaratibu wao.
Kuhusu pesa za kujenga nyumba hizo za ibada hazitatoka serikalini bali zitatoka kwa wafadhili
 
Hapo wamekosea sana,wakristo nao wakitaka wamegewe eneo wajenge kanisa je??

Hilo deal la watu,waliotoa fedha kujenga hapo Kuna eneo wamepewa bure na sirikali yetu,hapo ni kama sadaka ya shukrani kwa deal walilopiga na watawala!!
Kwani lazima mshindane? Mkristo wa dhehebu gani anataka kujenga kanisa coco?
 
Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipango mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujengwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi.

Hakuna anayekataa watu kuswali, lakini wangeweza kutenga maeneo ambayo sio ya kudumu kama ilivyokuwa awali kuruhusu waislamu au wakristo wanaohitaji huduma hiyo

View attachment 2950662
Utumwa utumwa tu, ni lini Mungu aliomba kuabudiwa, Mungu haitaji chochote toka kwa binadamu, anacho kila anachohitaji.
 
Wavaa kobazi wanataka vibinti viki inama upepo uvinyanyue nguo
 
Utajengaje msikiti Coco beach? Something is very wrong..!!
 
Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipango mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujengwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi.

Hakuna anayekataa watu kuswali, lakini wangeweza kutenga maeneo ambayo sio ya kudumu kama ilivyokuwa awali kuruhusu waislamu au wakristo wanaohitaji huduma hiyo

View attachment 2950662

December 2024
Dar es Salaam, Tanzania

MASJID TAWHID COCO BEACH DAR ES SALAAM WAZINDULIWA

View: https://m.youtube.com/watch?v=tyQ5IqkrxWk
Hatimaye mradi umekamilika, msikiti wazinduliwa na waumini sasa waanza kuswali.

Hafla ilihudhuriwa na watu mashuhuri wakiwamo waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania Eng. Hamad Yussuf Masauni, balozi wa Turkiye nchini Tanzania Dr. Mehmet Güllüoğlu pamoja na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya kiislamu

1736727704312.jpeg

1736727754318.jpeg
 
Back
Top Bottom