Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Si waswali baharini?Kubarizi ufukweni na kuogelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si waswali baharini?Kubarizi ufukweni na kuogelea
Mazingira ni tofauti kanisani ni mpk jmoc na j2 hivyo kanisa hata likiwa mbali sio tatizo ila msikiti swala ikifika muda huo huo lazima mswali, wewe huoni Hospital ya taifa ya Muhimbili kuni msikiti na makanisa mawiliMwamposa akitoka kawe naye atahamia hapo
Kwani we hujui kama mlimani city kuna msikiti..!?Hahahahaha itabidi na mlimani city wajenge msikiti ili wanaoenda nao waswali
Huo ni utani sasa yani wataelea juu ya maji kama Yesu huku wakiswaliSi waswali baharini?
NIlisikia pia kwamba pale Mwenge, Magufuli Bus Stsnd, Airport, Stand za SGR, na maeneo mengine yote ya Public itajengwa misikiti ili kuwawezesha ndugu zetu waislam kuswali popote watakapo kuwepo. Pia wakiwa wanajenga makanisa yao, serikali itakuwa inawachangia pesa na mengineyo.Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipango mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujengwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi.
Hakuna anayekataa watu kuswali, lakini wangeweza kutenga maeneo ambayo sio ya kudumu kama ilivyokuwa awali kuruhusu waislamu au wakristo wanaohitaji huduma hiyo
View attachment 2950662
Kwani lazima mshindane? Mkristo wa dhehebu gani anataka kujenga kanisa coco?Hapo wamekosea sana,wakristo nao wakitaka wamegewe eneo wajenge kanisa je??
Hilo deal la watu,waliotoa fedha kujenga hapo Kuna eneo wamepewa bure na sirikali yetu,hapo ni kama sadaka ya shukrani kwa deal walilopiga na watawala!!
Utumwa utumwa tu, ni lini Mungu aliomba kuabudiwa, Mungu haitaji chochote toka kwa binadamu, anacho kila anachohitaji.Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipango mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujengwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi.
Hakuna anayekataa watu kuswali, lakini wangeweza kutenga maeneo ambayo sio ya kudumu kama ilivyokuwa awali kuruhusu waislamu au wakristo wanaohitaji huduma hiyo
View attachment 2950662
Nilikua sijuiKwani we hujui kama mlimani city kuna msikiti..!?
Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipango mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujengwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi.
Hakuna anayekataa watu kuswali, lakini wangeweza kutenga maeneo ambayo sio ya kudumu kama ilivyokuwa awali kuruhusu waislamu au wakristo wanaohitaji huduma hiyo
View attachment 2950662