Haya maneno yameniumiza sana. Allah amlipie kisasi Mke wa Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake), Mama yetu 'Aaisha (Radhi za Allah ziwe juu yake), ambaye ni katika wabora wa wanawake wa Ummah huu. Mwanamke mwema msafi ambaye Allah alimtakasa katika Qur'an. Alikuwa katika bora ya wanachuoni miongoni mwa Maswahaba wa Mtume (Radhi za Allah ziwe juu yake).
Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) alimpenda sana. Mama wa Waumini, Mwanamke mtukufu binti wa Mbora wa watu baada ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) yaani Abu Bakar Swiddiq (Radhi za Allah ziwe juu yake). Mama wa Waumini ambaye Allah alijaalia Mtume wake afie mikononi mwake na azikwe chumbani kwake.
Radhi za Allah ziwe juu yake. Yuko mbali na uliyomtukana nayo. Namuomba Allah amlipie kisasi Mama yetu.
Nenda katika ignoring list yangu, sitaki kukuona popote wewe shaytwaan wa kibinaadamu, kafiri najisi. Allah akuongoze au auvunje mgongo wako.