Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

حَتَّىٰ إِذَا بَلَغَ مَغْرِبَ الشَّمْسِ وَجَدَهَا تَغْرُبُ فِي عَيْنٍ حَمِئَةٍ وَوَجَدَ عِنْدَهَا قَوْمًا ۗ قُلْنَا يَا ذَا الْقَرْنَيْنِ إِمَّا أَنْ تُعَذِّبَ وَإِمَّا أَنْ تَتَّخِذَ فِيهِمْ حُسْنًا
Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.

Kwenu kigoma jua halizami ziwa Tanganyika!?
Kuwa msukuma kusikufanye uwe mjinga.
Kigoma atakuwa anatoka mtume wa mnyazi.
 
Hata kanisani muda wa sadaka hufukuzwa ili binaadam watoe sadaka,na siku hizi mengi kweli huko kanisani
Hilo jambo lingine liweke lijitegemee kwenye comment usiliegemeze kwangu..
Mada hapa ni msikiti coco beach
Na soe wengine tukaenda mbali kushukuru majini kupata nafuu ya sala.

Subiri waweke na kanisa hapo coco uje na comment ya majini kuswali pia.
 
Inside 10 kisheti katika ubora😀
 
Kuwa msukuma kusikufanye uwe mjinga.
Kigoma atakuwa anatoka mtume wa mnyazi.
Nilikua sahihi kuamini akili huna,kigoma
Kuwa msukuma kusikufanye uwe mjinga.
Kigoma atakuwa anatoka mtume wa mnyazi.
Nilikua sahihi kuamini akili huna kigoma jua huzama ziwa Tanganyika coco beach jua huchomoza bahari ya Hindi Quran Aya uliyotoa nikakuwekea inamuelezea msafiri aliyefika kwenye nchi ambayo jua huzama kwenye ziwa la tope,kwa mtu wa jangwani ni adventure kusikia jua linazama kwenye ziwa la tope wakati yeye kila siku jua linazama kwenye mchanga wa jangwa
 
Vipi mtume wa Allah Muhammad kupaka wanja na hina na kumlamba mdomo na kumnyonya ulimi mwanamme mwenzake al Hassan msikitini akiwa uchi?

MK254
Al Hassan ndiye huyo mjukuu wake ambaye ni mtoto wa Ali,ambaye shia wamepafanya pahala alipouawa huko Iraq kuwa patakatifu,sababu ni hizo nilizokupa awali,mtume hawezi kaa uchi msikitini kiasi mtu aone aje kuandika
 
Nilikua sahihi kuamini akili huna,kigoma

Nilikua sahihi kuamini akili huna kigoma jua huzama ziwa Tanganyika coco beach jua huchomoza bahari ya Hindi Quran Aya uliyotoa nikakuwekea inamuelezea msafiri aliyefika kwenye nchi ambayo jua huzama kwenye ziwa la tope,kwa mtu wa jangwani ni adventure kusikia jua linazama kwenye ziwa la tope wakati yeye kila siku jua linazama kwenye mchanga wa jangwa
images (28).jpeg
 
Hilo jambo lingine liweke lijitegemee kwenye comment usiliegemeze kwangu..
Mada hapa ni msikiti coco beach
Na soe wengine tukaenda mbali kushukuru majini kupata nafuu ya sala.

Subiri waweke na kanisa hapo coco uje na comment ya majini kuswali pia.
Majini hayasubiri kanisa liende coco,yanaenda hukohuko mbali na coco beach,mpaka mbozi huko yanafika
 
Al Hassan ndiye huyo mjukuu wake ambaye ni mtoto wa Ali,ambaye shia wamepafanya pahala alipouawa huko Iraq kuwa patakatifu,sababu ni hizo nilizokupa awali,mtume hawezi kaa uchi msikitini kiasi mtu aone aje kuandika
Jami at-Tirmidhi 2732,Narrated 'Aishah.

A man kissing Muhammad's bare chest.
"Zaid bin Harithah arrived in Al-Madinah while the Messenger of Allah was in his house. So he went and knocked at the door, so the Messenger of Allah stood naked, dragging his garment - and by Allah! I did not see him naked before nor afterwards - and he hugged him and kissed him."
 
Unajua hata ulichokinukuu,au umebeba tu mtandaoni!?
 
وَالسَّمَاءَ بَنَيْنَاهَا بِأَيْدٍ وَإِنَّا لَمُوسِعُونَ
Na mbingu tumezifanya kwa nguvu na uwezo na hakika Sisi bila ya shaka ndio twenye uwezo wa kuzitanua.

Ukitaka Aya zingine zilizothibitishwa kisayansi ntakupa,we endelea kupost katuni
Screenshot_20240402-211740~2.png
 
Back
Top Bottom