Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

Tatizo hao wengine Ibada ya si ibada ni shughuli,kuanzia saa moja asubuhi Hadi saa Saba mchana, wengine saa mbili asubuhi mpaka saa 11 jioni,watapishana vipi!?..halafu siyo wafanyaji ibada hao!!
a4981bdebef82cc6ed0d305a86b3385e.jpg
 
So long as sitakatazwa kujikinga na mvua hapo nikiwa na kilevi changu huku nimevaa nyanya puzo na mwenzangu akiwa na Bikini...., Tofauti na hapo watakuwa hawanitendei Haki mimi na Imani yangu ya Kwenda Beach kupunga upepo...
 
Peponi hakuna dhambi,dhambi(kosa) ni duniani,ili muishi vizuri kwa utaratibu,pombe inawapa visukari,haribu ini, ajali nk..ndiyo maana vikakatazwa,Sasa unataka vikatazwe Hadi peponi..kwa nini!?
Soura 5:90-91
Basi Allah ni muongo.
 
حَتَّىٰ إِذَا بَلَغَ مَغْرِبَ الشَّمْسِ وَجَدَهَا تَغْرُبُ فِي عَيْنٍ حَمِئَةٍ وَوَجَدَ عِنْدَهَا قَوْمًا ۗ قُلْنَا يَا ذَا الْقَرْنَيْنِ إِمَّا أَنْ تُعَذِّبَ وَإِمَّا أَنْ تَتَّخِذَ فِيهِمْ حُسْنًا
Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.

Kwenu kigoma jua halizami ziwa Tanganyika!?
 
Back
Top Bottom