Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

Hapo wamekosea sana,wakristo nao wakitaka wamegewe eneo wajenge kanisa je??

Hilo deal la watu,waliotoa fedha kujenga hapo Kuna eneo wamepewa bure na sirikali yetu,hapo ni kama sadaka ya shukrani kwa deal walilopiga na watawala!!
Tatizo kwa wakristo,madhehebu yao yanaswali tofauti tofauti,na pia yapo yanaoweka masanamu kanisani na wapo wasioweka,wengine wanaimba makanisani na vinanda na wengine wanapiga makofi na wengine wanalia,hata biblia ziko tofauti,wengine wanaongozwa na Padre,wengine na wachungaji,wengine na maaskofu.Lugha pia za ibada zinatofatiana,mzungu atatumia kizungu.kusali,muarabu atatumia kiarabu,muhindi atatumua kihindi,mswahili atatunia kiswahili,mchina atatumia kichina nk.Kwa hiyo
inabidi kila dhehebu liwe na kanisa lake.
Lakini kwa waislamu,muislamu yoyote wa kabila lolote,awe mgeni awe mwenyeji,ataswalisha na kuswali, kwa lugha moja tu ya kiarabu,na wa kabila zote watamuelewa,muhimu awe amesoma madrasa huko anakotoka.Na ndio maana pia kunakuwa na mashindano ya usomaji wa Qur'an ya dunia nzima,Kwa vile Qur'an,dunia nzima inatumia lugha moja ya kiarabu,ikiwa kwenye lugha nyingine ni tafsiri ya Qur'an.
 
Kuchukua udhu, kuchamba na kuoga janaba vyote vitafanyikia baharini
Wakristo wanatofautiana sana kiibada,kila dhehebu lina ibada tofauti na mwenzake,hata mda wa ibada na siku za ibada ziko tofauti.Wngine wanasalishwa na mchungaji,wengine na Padre,wengine na maaskofu,wengine wanasalishwa na wanawake.Wengine wanaweka masanamu kanisani,wengine hawaweki. Kila dhehebu lina biblia tofauti na mwenzake.Lugha za kufanya ibada pia ziko tofauti,Wazungu wanatofaatiana kilugha,mjerumani,inabidi apate mchungaji au Padre au askofu mjerumani wa kufanya naye ibada,mswedeni,mrusi,muingeteza,mjapani,mchina,muamerika,muhindi,muarabu mkristo,sijui watafanya ibada vipi kwrnye kanisa moja.Lalimi kwa waislamu wote,polpote atakapo toka,Qur'an ni ya lugha moja tu,na ibada inatumia lugha moja tu,muhimu awe muumini na kiongozi wake wa ibada,wamesoma madrasa.Kwa hiyo msikiti wa waislamu,ni mmoja tu,kwa watu wote na wa kabila zote,na watafanya ibada bila kugagazika,awe ni wa taifa au kabila lolote.Hapo inabidi kila dhehebu,na kila wenye lugha tofauti,wawe na makanisa yao,fikiria eneo love litajaa makanisa mangapi,na ndio maana hata wao wakristo wanashindwa kuomba kujenga kanisa,kwa utofauti mkubws wa ibada,walio nao.
 
Wakristo wanatofautiana sana kiibada,kila dhehebu lina ibada tofauti na mwenzake,hata mda wa ibada na siku za ibada ziko tofauti.Wngine wanasalishwa na mchungaji,wengine na Padre,wengine na maaskofu,wengine wanasalishwa na wanawake.Wengine wanaweka masanamu kanisani,wengine hawaweki. Kila dhehebu lina biblia tofauti na mwenzake.Lugha za kufanya ibada pia ziko tofauti,Wazungu wanatofaatiana kilugha,mjerumani,inabidi apate mchungaji au Padre au askofu mjerumani wa kufanya naye ibada,mswedeni,mrusi,muingeteza,mjapani,mchina,muamerika,muhindi,muarabu mkristo,sijui watafanya ibada vipi kwrnye kanisa moja.Lalimi kwa waislamu wote,polpote atakapo toka,Qur'an ni ya lugha moja tu,na ibada inatumia lugha moja tu,muhimu awe muumini na kiongozi wake wa ibada,wamesoma madrasa.Kwa hiyo msikiti wa waislamu,ni mmoja tu,kwa watu wote na wa kabila zote,na watafanya ibada bila kugagazika,awe ni wa taifa au kabila lolote.
Masallafi, Wasunni wafuatao sunna za Mtume na Washia wanatofauriana ktk imani hata kama wanaswali katika msikiti mmoja
 
Wabongo hawajui na hawapendi vitu vizuri
Kweli inasikitisha sana kuona Oysterbay kuvamiwa na watu holela.
Ilikuwa ni sehemu pekee DAR kwa watu kwenda na familia kupata sehemu ya kujipumzisha na kujenga uhusiano na watu wa jamii yote DAR.
Nakumbuka kwenye 90's nilikuwa naenda na watoto ufukweni kuogelea pale Coco Beach. Kulikuwa na miti na sehemu yote ikiwa na nyasi.
Sehemu hii kwa kila awamu ya serikali imekuwa na sera zake za kutwaa hili eneo kwa matumizi zaidi ya kuwa OPEN SPACE. Manispaa ya Kinondoni ilimpatia hii eneo Manji ili ajenge viunga vya biashara. Hayati Magufuli alimyanganya hiyo kiwanja Manji na kutamka hii eneo kuwa la WAZI.
Hivi sasa imekuwa ni viwanja vya kuni kutokana na vibanda vile na hakuna tena nafasi tosha kwa watu kwenda na familia pale kutokana na kujaa baa na malaya nyakati za jioni.
Nimepita jana pale naona kuna sehemu nyingine imesafishwa kwa Grader opposite na ubalozi wa Dubai au Ocean Front Appartments.

Tunataka ufukwa wote wa Oysterbay lirudi kuwa open space na Manispaa ya Kinondoni iache vishawishi ya kupatia watu eneo.
 
Hutu Sheikh sijui anaitwa nani ila ameongea UKWELI MTUPU japo Waislam watampinga

Sheikh yupo sahihi sana
Hofu yangu pia iko hapa…wale wenye msimamo mkali wa kidini watakubali kuswali kibra kuelekea bar za kukesha , watu wanaoogelea utupu …na uchafu mwingine unaoendelea pale ??? NDIO MAANA TUNAULIZA WATU WA MIPANGO MIJI WAMEFIKIRIA NINI KURUHUSU HILO ………. Migogoro mingine inazuilika ….., wangeacha tu pawe wazi anayetaka na kuona anaweza kusali kwa imani yake atapatumia lakini sio kuweka jengo la kudumu ….
NAONA KUNA ambao wameongelea utofauti wa ukristo …huo ni kawaida hata kwa waislamu kuna madhehebu ……kwenye ukiristo kuna madhehebu mawili makuu …… ndani ya Mainstream CATHOLICISM [ humu kuna ambao wanaweza kuelewana kama The Orthodox Church ] ……waliobakia wote wanaitwa PROTESTANTS CHURCHES [ unaweza kusema wapinzani kwa ujumla au waliojitenga kutoka kanisa mama la katoliki ie ANGLICAN , LUTHERAN , METHODIST etc etc etc ….makanisa mengi yamemeguka kutoka hapo ]….ndio maana hata kwenye sehemu za umma mfano Muhimbili hospital au UDSM…., Kunakua na majengo mawili /matatu ya kuabudu … MSIKITI MMOJA na KANISA MOJA Lakini linakuwa na sehemu mbili ….KANISA KATOLIKI wanasali wao wenyewe kwa sababu ya utaratibu tofauti wa ibada …na KANISA LA PROTESTANT [ wanakuwa na ibada kwa zamu …..LUTHERAN , ANGLICAN ..na mengine ya mainstream .
 
Masallafi, Wasunni wafuatao sunna za Mtume na Washia wanatofauriana ktk imani hata kama wanaswali katika msikiti mmoja
Iman ni moja, labda wanakhitalifianq kimitazamo ila mwisho wa siku wakiwa msikitini wanaswali namna moja. Km ni adhuhuri rakaa 4 zaitasaliiwa rakaa 4. Kuna wale wasiokaa kusoma duaa baada ya swala wakishatoa salam wanaondoka wanawaacha wanaosoma duaa ya pamoja na imam wawndelee.
Ibadhi wa wakiswali hawafungi mikono, sunni wanafunga mikono, salafi wanafunga mikono kifuani...n.k lkn haiwazuii kuswali pamoja
 
Kuchukua udhu, kuchamba na kuoga janaba vyote vitafanyikia baharini
Enhe. Neno nililokua nalitafuta ni "Udhu".

Kuna vuta ni kuvute kubwa
sana, kati ya dini hizi mbili, kila wakati Raisi mwenye dini ya kiislamu akiwa madarakani.

Nachelea kusema, 'nchi hii ni ngumu'

Jambo hili likemewe
 
Hujui maana yamipango miji yan kwakua sehem nisoko nawatu wanaingia nakutoka bhasi et ujenge nyumba yaibada pale ni open space watu wanaenda kubarizi misikit wataikuta huko makwao
Lkn mbona hata yale mabanda yaliokwisha jengwa kwa huduma nyenginezo pia yameziba kwa kiasi kikubwa hizo open spaces?
 
Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipangp mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujemgwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi
Hakuna anayekataa watu kuswali lakini wangeweza kutenga maeneo ambayo sio ya kudumu kama ilivyokua awali kuruhusu waislamu au wakristo wanaohitaji huduma hiyo

View attachment 2950662
Na kanisa la wasabato, KKKT, na Roman Catholic limepewa eneo hapo.
Siwatetei wahindi na Jamtini yao hapo maana mi si muumini wao lakini na wao wafikiriwe maana wanakwenda hapo kwa wingi sana.
 
Huyo aliyetoa kibali/ruhusa ijengwe msikiti hapo hana
Akili,na tunajuwa pesa itakuwa imeongea tu

Ova
 
Back
Top Bottom