physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 859
- 1,036
Tatizo kwa wakristo,madhehebu yao yanaswali tofauti tofauti,na pia yapo yanaoweka masanamu kanisani na wapo wasioweka,wengine wanaimba makanisani na vinanda na wengine wanapiga makofi na wengine wanalia,hata biblia ziko tofauti,wengine wanaongozwa na Padre,wengine na wachungaji,wengine na maaskofu.Lugha pia za ibada zinatofatiana,mzungu atatumia kizungu.kusali,muarabu atatumia kiarabu,muhindi atatumua kihindi,mswahili atatunia kiswahili,mchina atatumia kichina nk.Kwa hiyoHapo wamekosea sana,wakristo nao wakitaka wamegewe eneo wajenge kanisa je??
Hilo deal la watu,waliotoa fedha kujenga hapo Kuna eneo wamepewa bure na sirikali yetu,hapo ni kama sadaka ya shukrani kwa deal walilopiga na watawala!!
inabidi kila dhehebu liwe na kanisa lake.
Lakini kwa waislamu,muislamu yoyote wa kabila lolote,awe mgeni awe mwenyeji,ataswalisha na kuswali, kwa lugha moja tu ya kiarabu,na wa kabila zote watamuelewa,muhimu awe amesoma madrasa huko anakotoka.Na ndio maana pia kunakuwa na mashindano ya usomaji wa Qur'an ya dunia nzima,Kwa vile Qur'an,dunia nzima inatumia lugha moja ya kiarabu,ikiwa kwenye lugha nyingine ni tafsiri ya Qur'an.