Kwanza mtambue tu kuwa sisi wote ni ndugu dini hizi zimekuja tu.Wakristo wao sala zao ni Jumapili kwa jumapili au Jumamosi kwa jumamosi tu.Ndugu zetu Waislam wao amri yao ni sala tano kwa siku na sala hizi hazikuanzia Coco beach.Sasa kuna ubaya gani wakawa na Msikiti wao pale unaoeleweka kuliko kusalia kwenye makuti.Tuweni waungwana jamani.Kusali tu peke yake siyo kama nchi imekuwa Islamic state.Mbona kila mahali Misikiti ipo na wanasali humo sala tano ? Ile jamii pale Coco beach inamuhitaji Mungu na miongoni mwao waisalamu wamo.Labda kama ni kutafuta balance lijengwe kanisa moja liwe na parttion kutokana na madhehebu ili Jumamosi na Jumapili wale watakaokuwa Coco beach wahudumiwe.Vinginevyo tuache roho mbaya.Now it’s Islamic state [emoji1241]