Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

Unarudia,huna zingine!?
images (18).jpeg
 
Jami at-Tirmidhi 2732,Narrated 'Aishah.

A man kissing Muhammad's bare chest.
"Zaid bin Harithah arrived in Al-Madinah while the Messenger of Allah was in his house. So he went and knocked at the door, so the Messenger of Allah stood naked, dragging his garment - and by Allah! I did not see him naked before nor afterwards - and he hugged him and kissed him."
Ila mmeamua kupotosha dhabiti sijui kwa faida ya nani, hichi mnachokifanya kukashifu dini za wenzenu gharama yake ni kubwa sana kuliko unavyoona raha kuandika na kushabikiwa... Uislamu unahesabu utupu wa mwanaume magotini mpaka kitovu, hiyo narration imemalizia kueleza hakuwa amevaa nguo ya juu, wewe umeishia katikati ya hiyo narration kwenye naked tu hujamalizia how, narudi tena kukuasa hichi mnachotaka kupandikiza gharama zake ni kubwa sana na ni irreversible... Kimbari ya Rwanda na kwingineko zilianza hivi kidogo kidogo hatimaye chuki zikazaa hayo unayoyapropagandia
 
images (12).jpeg
 
Hapo wamekosea sana,wakristo nao wakitaka wamegewe eneo wajenge kanisa je??

Hilo deal la watu,waliotoa fedha kujenga hapo Kuna eneo wamepewa bure na sirikali yetu,hapo ni kama sadaka ya shukrani kwa deal walilopiga na watawala!!
Sawa kajengeni ilq kubalianeni dhehebu lipi,sisi waislqmu wote tutaswali msikiti mmoja nyue je??
 
Kila mahali misikiti. Nchi imekuwa ya kidini sana. Waarabu, misikiti. Yani ata aibu hana. Imani ni ya binafsi lakini kulazimisha sehemu za public kama airports na bus stands kuweka misikiti ni too much.
 
airports karibia zote zina misikiti ,hata hapo kenya tu ambapo 80% ni wakristo ila wameweka msikiti ndani ya airport, inajulikana waislamu husali mara tano kwa siku sasa wewe kwa nini unaumia
 
Back
Top Bottom