peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kama ni za kweli Takukuru wamesikia.Hiyo Halmashauri iko chini ya CCM; ulitegemea nini Chief? Ndio zao hao majizi.
Hali inavojionesha nchi inaelekea kwenye giza nene! Mafisadi wanaila kweli kweli bila hofu mchana kweupe na hakuna wa kukemea sembuse kufukuza na kupeleka kwenye vyombo vya sheria.Kama ni za kweli Takukuru wamesikia.
Huyo meya ni kibaka mwenzake na sabaya,kesi ya sabaya aliotapeli 25m kwa mzee lyimo alihusika kuuza ramani akapewa chakeBila mkuu wa wilaya ya moshi, kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasa wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa . Swali la msingi , Halmashauri imempata mkandarasa asiyejulikana jina wala hakuna viambatisho muhimu vya kumtambua. RAS kilimanjaro fuatilia pesa inapigwa hiyo. Tulioko ughaibuni tunashangaa tu.
Bila mkuu wa wilaya ya moshi, kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasa wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa . Swali la msingi , Halmashauri imempata mkandarasa asiyejulikana jina wala hakuna viambatisho muhimu vya kumtambua. RAS kilimanjaro fuatilia pesa inapigwa hiyo. Tulioko ughaibuni tunashangaa tu.
Jamaa tayari ana kimeo Takukuru na kuhusu sabayaKama ni za kweli Takukuru wamesikia.
Takukuru Kilimanjaro na Meya wa Moshi Manispaa ni sawa na uji na mgonjwaKama ni za kweli Takukuru wamesikia.
Hao sasa ndio CCM, ni majizi ajabu! CCM usipokua mwizi wala mnafiki basi huna sifaBila mkuu wa wilaya ya moshi, kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasa wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa . Swali la msingi , Halmashauri imempata mkandarasa asiyejulikana jina wala hakuna viambatisho muhimu vya kumtambua. RAS kilimanjaro fuatilia pesa inapigwa hiyo. Tulioko ughaibuni tunashangaa tu.
Hilo swali atajibu DED moshi Manispaa na DEO sekondari ndio wapambe wa tenda hiyo. Ameitisha vikao na shule zote. Kumi zilizopata mgao wa fedha hizo. Na wamekubaliana Meya afanye kazi ya ujenzi.Amechukuaje tenda wakati pesa zimeingizwa kwenye account za shule na mfumo unaotumika ni force account.
Bila mkuu wa wilaya ya moshi, kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasa wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa . Swali la msingi , Halmashauri imempata mkandarasa asiyejulikana jina wala hakuna viambatisho muhimu vya kumtambua. RAS kilimanjaro fuatilia pesa inapigwa hiyo. Tulioko ughaibuni tunashangaa tu.
Niliyoyasema awali yaibuka shule ya sekondari Anna Mkapa kwa RC Kilimanjaro kukabidhi mradi wa madarasa 4 yenye dhamani ya Tsh 80,000,000 kwa kamanda wa Takukuru Mkoa wa Kilimanjaro huko TanzaniaBila mkuu wa wilaya ya Moshi kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasi wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa Moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa.
Swali la msingi, halmashauri imempata mkandarasi asiyejulikana jina wala hakuna viambatisho muhimu vya kumtambua. RAS Kilimanjaro fuatilia pesa inapigwa hiyo.
Tulioko ughaibuni tunashangaa tu.