Meya Songoro: Tumeshindwa kupambana na Biashara ya Ukahaba, tutaomba ihalalishwe wasajiliwe

Meya Songoro: Tumeshindwa kupambana na Biashara ya Ukahaba, tutaomba ihalalishwe wasajiliwe

Bora wahalalishe!Wachukue na kodi ili tuache kubanana na kodi sisizo na kichwa wala miguu!Pia wakihalalisha wakague na viwango kama vinaendana na bei,mambo ya kuuziwa elfu50 halafu ukifika ndani **** mdebwedo,utamu hamna,harufu kama panya kafa hatutaki.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2960][emoji2960]
 
Namna ya kukabiliana na tatizo ni kutoa mitaji kwa vijana wajiajiri,Lowassa alishasema miaka kama 10 iliyopita kwamba ukosefu wa ajira kwa vijana ni Bomu linalosubiri kulipuka,ndio haya sasa matokeo.

Wengi wanaingia huko sio kwa kupenda,ni shida ndio inawalazimisha
Asilimia chache sana wanao ingia kwa ajili ya ugumu wa maisha.
Ila wapo pia wanaipenda hiyo kazi.

Wapo ambao ni wazee wa easy money hivyo ugumu wa maisha sio sababu pekee
 
Back
Top Bottom