MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Nani aliyeweza kupamba na makahaba?Badala ya kusimamia maadili yeye kwa fikra zake anataka kuhalalisha haramu!!??
Hatufai huyu
Hv unadhani hayo mambo yakihalalishwa mabinti zetu watakuwa wapi!???
Anaongea kama vile sio baba wa familia!!??
Apishe kiti huyu kazi imemshinda na amekiri wazi hawezi kupambana na makahaba. Aje mtu mwingine mwenyewe mwenye mbinu mbadala.
Kumbuka hakuna sheria inayokataza mtu kujiuza ndio maana wanafunguliwa makosa ya uzururaji.
Ni rahisi zaidi kudhibiti kwa kutenga maeneo maalumu kuliko Sasa inavyofanyika holela kati kati ya makazi ya watu.
Mfano: Kigamboni ikawa ni red zone with red lights na makahaba kupewa leseni watakazo lipia, kupimwa hali zao kiafya wanapotaka kila baada ya muda fulani.
Kulipa Kodi na kulinda ujasiliamwili kwenye maeneo tengefu