Kwa lugha nyingine, Dunia ilipo na inapokwenda, ni mahali pa hatari zaidi, na kwa kasi iliyoko nyuma ya mambo hayo, serikali zetu hizi za kupewa maagizo na nguvu iliyowekeza kwenye mambo hayo miaka mamia iliyopita, haitaweza kuzuwia kamwe!
Kwani tayari maji ya mafuriko yalishafika pahala pa mteremko haitawezekana kuyazuia yatakufagia na wewe mzuiaji!
Miaka ya huko ya mababu zetu, jinsia zote zilizaliwa katika ukamilifu wake!
Kwa sasa ni changanyikeni, kumekuwepo na muonekano wa sura tu kwamba, yule ni ME na yule ni KE lakini ukifuatilia, ni tofauti kabisa!
Huo ni uwekezaji uliofanywa miaka mingi iliyopita! Wengi wameathirika na uwekezaji huo!
Na ili hasira na ghadhabu za muumbaji zifike kwenye kilele cha kushindwa uvumilivu! Hayo hayana budi kuwako!
Najiuliza tu, kukihalarishwa, tayari biashara hiyo ya umalaya na ushoga! Maana yake hakutakuwa na kubughudhiwa tena na itakuwa ni jambo la kawaida kama wafanyavyo watu wa kawaida?
Mwanaume kumfuata mwanaume mwenzake mchana kweupe kumtaka kimapenzi na kisha waingie guest mchana kweupe?
Kama ndivyo! Kuna la ziada ambalo bado halijafikia kiwango cha sodoma na gomola?