JanguKamaJangu JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 2,780 Reaction score 6,607 Nov 1, 2024 #1 Meya wa Manispaa ya Tabora, Ramadhan Kapela, amewataka vijana wa Manispaa hiyo kumkamata mtu yeyote atakayeonekana anatupa takataka hovyo mitaani ili kuimarisha hali ya usafi wa Manispaa. Your browser is not able to display this video. Chanzo: ITV Pia soma ~ Uchafu wa Stendi ya Mabasi Tabora unatishia Afya za watu
Meya wa Manispaa ya Tabora, Ramadhan Kapela, amewataka vijana wa Manispaa hiyo kumkamata mtu yeyote atakayeonekana anatupa takataka hovyo mitaani ili kuimarisha hali ya usafi wa Manispaa. Your browser is not able to display this video. Chanzo: ITV Pia soma ~ Uchafu wa Stendi ya Mabasi Tabora unatishia Afya za watu
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Nov 1, 2024 #2 Inatakiwa iwe hivyo nchi nzima
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Nov 1, 2024 #3 Kwa hatua hiyo lazima watafanikiwa,maana moshi na iringa walifanikiwa kwa style hyo hyo Safi sanaaa.... Ova
Kwa hatua hiyo lazima watafanikiwa,maana moshi na iringa walifanikiwa kwa style hyo hyo Safi sanaaa.... Ova
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 14,830 Reaction score 14,472 Nov 1, 2024 #4 Vp kama nikimuona fisadi anafisadi?
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Nov 1, 2024 #5 Wananchi wa TABORA msikubali.. Kwann umkamste aliyetupa taka, na siyo aliyeiba mabilioni ya fedha za Kodi zetu.
Wananchi wa TABORA msikubali.. Kwann umkamste aliyetupa taka, na siyo aliyeiba mabilioni ya fedha za Kodi zetu.