Kama itakupendeza ungeelewa kwanza nilichouliza naona umekurupuka sina shida na kuondolewa au kutoondolewa nimeuliza 2/3 ya 26 ni 14?
Sent using Jamii Forums mobile app
Babu unajua tofauti Kati ya akidi, 2/3 na wingi wa kura!!Bwashee akidi ilitimia ambayo ni wajumbe 17
Inapopigwa kura kinachoangaliwa ni wingi wa kura siyo akidi.
Chadema kama walikuwemo ukumbini basi huo uamuzi ni halali meku.
Lakini ni uamuzi usio na tija masna hata huyu Meya wa Dar aliyeingilia dirishani anaogopa kuwazuia mwendokasi kujaza abiria kupita kiasi ili kuidhibiti Corona!
endelea kukenulia ujinga , siku zenu zinahesabikaTatizo lenu mnapenda kuhurumiwa sana. Kwa hiyo polisi waliingia kwenye ukumbi na kupiga kura?
NashangaaTatizo lenu mnapenda kuhurumiwa sana. Kwa hiyo polisi waliingia kwenye ukumbi na kupiga kura?
Kwenye siasa lolote linawezekana.Story za mgahawani
Soon nchi yangu inakuwa BANANA REPUBLIC l
CCM buana badala ya kupambana na corona wanapambana na chadema.
Ni kweli mkuuTunaambiwa amekataa milioni 400 mpaka sasa.
Siku zetu?endelea kukenulia ujinga , siku zenu zinahesabika