Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita Meya anyang’anywa gari, ofisi yafungwa. Adai kuwa yeye bado ni Meya halali

Paul Makonda ni mjinga kwelikweli..Kiazi mtupu. Ameona jinsi ya kufuja hela kwenye miradi uchwara ni kulazimisha Meya aondolewe kihuni.

Yani serikali inayoongozwa na Magufuli ni serikali iliyotoka sijui wapi. Kwakweli kama ni kosa basi lilifanyika 2015 na litaacha ugonjwa wa kudumu nchini.
 
Usiwe unatoka nje ya uhalisia. CDM kunakosekana uadilifu na hekima. Watu kama Meya Jacob na Mwita hawana weledi wa uongozi hivyo wanavuna walichopanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kila nikifikiri yaliyotokea 2015 naona kama vile tulifanya makosa makubwa sana.
Makosa haya yanalingana na mtu alie kwenda chooni kujisaidia na kushusha suruali akadhani kashusha na boksa kumbe hapana.
Baada ya kufanya yake kwa haraka akapandisha suruali kuondoka zake hali mzigo anao ndani ya boksa.
2015-20 tunatembea na mzigo ndani ya boksa, tumegundua wakati tuko kwenye foleni na hakuna njia mpaka tuufikishe mwisho
 
Usiwe unatoka nje ya uhalisia. CDM kunakosekana uadilifu na hekima. Watu kama Meya Jacob na Mwita hawana weledi wa uongozi hivyo wanavuna walichopanda

Sent using Jamii Forums mobile app
Weledi gani? Kukosa sifa ya kulamba viatu na makalio ndio kukosa weledi?
Hicho ni kiwango cha juu cha ujinga kuliona jambo hilo kwa muono wako!
 
Nadhani yeye aendelee na kazi hata Kama sio ya umeya lakini udiwani nayo nikazi kwa jamii
 
Jinga hili Meya eti namuomba rais magufulu aingilie kati. Ungejua hao waliokufukuza wametumwa na magufuli usingemhusisha hata kidogo.

Yaani hapo sawa umerogwa na mchawi halafu unaenda kutibiwa kwa mchawi mwingine/mganga wa kienyeji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAFILILI, Mahakimu wetu wana shida kubwa sana. Mtu kapelaka malalamiko apewe msaada lakini kwa vile wana subiri wapewe maamuzi ya kesi na upande wa pili aka ahirisha kesi ili akapate maelekezo. Nashangaa sana Jaji mkuu anapo lalamika kwamba kesi zina cheleweshwa n awapelelezi hata zile wanazo leta makalamiko nazo ni aje hapo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwe unatoka nje ya uhalisia. CDM kunakosekana uadilifu na hekima. Watu kama Meya Jacob na Mwita hawana weledi wa uongozi hivyo wanavuna walichopanda

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa CCM wanatoa wapi huo uadilifu.Manake kwenye fomu za uchaguzi CDM wote wanashindwa kujaza sababu hawajui kusoma wala kuandika,tafsiri yake ni kwamba kuna Shule wanasoma wanaccm tu na huko ndo Kuna Walimu ambao wanajua sana kuwafundisha wanaccm,na kuna ambazo wanasoma wana CDM tu,na huko Walimu hawawezi kabisa kufundisha ndo maana wana CDM hawajui kusoma wala kuandika.Pia kwenye uadilifu wanaccm wana vyuo vyao maalumu Vya kuwafundisha uadilifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…