USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Soon tunachukua manispaa zote a jiji na kule Arusha same story
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm oyeeeeHatimaye Meya wa Jiji la Dar Mhe Isaya Mwita kapigwa chini rasmi baada la Baraza la Madiwani kumuona ana makosa makubwa ya kimaadili. Bye bye Mwita
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndio gharama yake, na sio kununuliwa naoHabari ndiyo hiyo Meya Mwita kabaki na udiwani wake wa Vijibweni. Naibu Meya kachukuwa nafasi yake hadi baraza la madiwani litapovunjwa rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikubwa ni MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA YAKEUmekuja mbio mbio kiasi umeshindwa kuutendea haki uzi wako.
Isaya ni kiongozi mkubwa, unapoleta taarifa za kiongozi wa kada hiyo hakikisha unataja na sababu zilizopelekea uamuzi huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe unatoka nje ya uhalisia. CDM kunakosekana uadilifu na hekima. Watu kama Meya Jacob na Mwita hawana weledi wa uongozi hivyo wanavuna walichopandaNchi yetu bado iko nyuma Sana. Yaani bado tunahangaika na michezo kama hii! Dah. Mungu aturehemu Kwa kweli.
Siasa kila mahali hata hazina manufaa. Serekali inahubiri mfumo wa vyama vingi alafu haiupendi Kwa gharama yoyote Ile!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kila nikifikiri yaliyotokea 2015 naona kama vile tulifanya makosa makubwa sana.Paul Makonda ni mjinga kwelikweli..Kiazi mtupu. Ameona jinsi ya kufuja hela kwenye miradi uchwara ni kulazimisha Meya aondolewe kihuni.
Yani serikali inayoongozwa na Magufuli ni serikali iliyotoka sijui wapi. Kwakweli kama ni kosa basi lilifanyika 2015 na litaacha ugonjwa wa kudumu nchini.
Usiwe unatoka nje ya uhalisia. CDM kunakosekana uadilifu na hekima. Watu kama Meya Jacob na Mwita hawana weledi wa uongozi hivyo wanavuna walichopanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Weledi gani? Kukosa sifa ya kulamba viatu na makalio ndio kukosa weledi?Usiwe unatoka nje ya uhalisia. CDM kunakosekana uadilifu na hekima. Watu kama Meya Jacob na Mwita hawana weledi wa uongozi hivyo wanavuna walichopanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kashindwa kuitisha vikao ambavyo vimesababisha zaidi ya shilingi bilioni 5 kutotumika. Kutumia vibaya gari la halmashauri ya jiji. Kupigana na meya wa temeke. Utovu wa nidhamu uliopitiliza. Kushindwa kuenda sambamba na kasi ya awamu ya 5 katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa CCM wanatoa wapi huo uadilifu.Manake kwenye fomu za uchaguzi CDM wote wanashindwa kujaza sababu hawajui kusoma wala kuandika,tafsiri yake ni kwamba kuna Shule wanasoma wanaccm tu na huko ndo Kuna Walimu ambao wanajua sana kuwafundisha wanaccm,na kuna ambazo wanasoma wana CDM tu,na huko Walimu hawawezi kabisa kufundisha ndo maana wana CDM hawajui kusoma wala kuandika.Pia kwenye uadilifu wanaccm wana vyuo vyao maalumu Vya kuwafundisha uadilifuUsiwe unatoka nje ya uhalisia. CDM kunakosekana uadilifu na hekima. Watu kama Meya Jacob na Mwita hawana weledi wa uongozi hivyo wanavuna walichopanda
Sent using Jamii Forums mobile app
ajabu ni kwamba, mahakama haijatoa hukumu, haki hii nchi inatia hasira uspojizuia unaweza jitoa muhangaHili lilishajulikana mapema sana, ccm kama hawakutaki watakuondoa hata kwa lazima,huko mahakamani alipokwenda kuzuia hilo sijui imekuaje..
Sent using Jamii Forums mobile app