Baraza la madiwani linavunjwa liniHabari ndiyo hiyo Meya Mwita kabaki na udiwani wake wa Vijibweni. Naibu Meya kachukuwa nafasi yake hadi baraza la madiwani litapovunjwa rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu Utahira wenu umefikia hatua ambayo hakuna nabii wala mtume anaweza kuwakomboa, kila la kheri mkuu
Halafu kuonyesha Ccm walivyo na mambo ya kijinga hata akidi ya kikao cha kumuondoa Meya hakija timia.. Yaani ni chuki za kipuuzi... Hata gari wana mnyanganya?? Kwamba hawataki hata afanye handing over ya ofisi?? Where are we leading???ajabu ni kwamba, mahakama haijatoa hukumu, haki hii nchi inatia hasira uspojizuia unaweza jitoa muhanga
Mkijijua sio chaguo la wananchi!!Soon tunachukua manispaa zote a jiji na kule arusha same story
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Soon tunachukua manispaa zote a jiji na kule arusha same story
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa alikuwa na hekima na busara
watakuwa wamechelewa sanaCCM wanataka kurejesha mfumo wa chama kimoja
Serikali ya awamu ya 5 ina kasi gani na imefanya nini hadi sasa?Kashindwa kuitisha vikao ambavyo vimesababisha zaidi ya shilingi bilioni 5 kutotumika. Kutumia vibaya gari la halmashauri ya jiji. Kupigana na meya wa temeke. Utovu wa nidhamu uliopitiliza. Kushindwa kuenda sambamba na kasi ya awamu ya 5 katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu utakutana na mtu anakwambia serikali inafanya la maana.Paul Makonda ni mjinga kwelikweli..Kiazi mtupu. Ameona jinsi ya kufuja hela kwenye miradi uchwara ni kulazimisha Meya aondolewe kihuni.
Yani serikali inayoongozwa na Magufuli ni serikali iliyotoka sijui wapi. Kwakweli kama ni kosa basi lilifanyika 2015 na litaacha ugonjwa wa kudumu nchini.
Yaani wanatamani wachukue na roho za wapinzani ziwe zaoCCM wanataka kurejesha mfumo wa chama kimoja
Meya aligoma fedha hizi zisitumike kwa sababu zipi....yaani ni nini hasa kilitokea?Miongoni mwa tuhuma anazokabiliana nazo Mwita ni kutotumia Sh5.8 bilioni za Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda)
Haleluyah! Huwa inakuwa ni furaha na shangwe kondoo mmoja aliyepotea anaporudi mwenyewe kundini!!No, hii ni mbaya, huu ni uonevu wa wazi kabisa