Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita Meya anyang’anywa gari, ofisi yafungwa. Adai kuwa yeye bado ni Meya halali

Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita Meya anyang’anywa gari, ofisi yafungwa. Adai kuwa yeye bado ni Meya halali

ajabu ni kwamba, mahakama haijatoa hukumu, haki hii nchi inatia hasira uspojizuia unaweza jitoa muhanga
Halafu kuonyesha Ccm walivyo na mambo ya kijinga hata akidi ya kikao cha kumuondoa Meya hakija timia.. Yaani ni chuki za kipuuzi... Hata gari wana mnyanganya?? Kwamba hawataki hata afanye handing over ya ofisi?? Where are we leading???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAFILILI ndio BASHITE nini napata ulakini na uandishi wake.
Nchi ya wajinga sana hii, ipo vururu vururu!
 
Nikiona safu ya uongozi wa nchi, naaona mbele giza.
 
Kashindwa kuitisha vikao ambavyo vimesababisha zaidi ya shilingi bilioni 5 kutotumika. Kutumia vibaya gari la halmashauri ya jiji. Kupigana na meya wa temeke. Utovu wa nidhamu uliopitiliza. Kushindwa kuenda sambamba na kasi ya awamu ya 5 katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ya awamu ya 5 ina kasi gani na imefanya nini hadi sasa?
 
Paul Makonda ni mjinga kwelikweli..Kiazi mtupu. Ameona jinsi ya kufuja hela kwenye miradi uchwara ni kulazimisha Meya aondolewe kihuni.

Yani serikali inayoongozwa na Magufuli ni serikali iliyotoka sijui wapi. Kwakweli kama ni kosa basi lilifanyika 2015 na litaacha ugonjwa wa kudumu nchini.
Alafu utakutana na mtu anakwambia serikali inafanya la maana.
Watanzania tungekuwa kama wakenye hatuna woga wa kufurusha viongozi wa ajabu ajabu tungekuwa zaidi ya Nigeria
 
Hana konekshen na Ayatollah akazibe pengo la Qaseem Soleimani. Wakurya si wanazaliwa na abcd za mambo ya jeshi
 
Nahisi kosa lake kubwa ni kutotumia hizo sh.5b Hali iliosababisha kukosa ulaji Kwa hao wanaomwandama.

Naona wame mfanyia impeachment!!!
 
Miongoni mwa tuhuma anazokabiliana nazo Mwita ni kutotumia Sh5.8 bilioni za Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda)
Meya aligoma fedha hizi zisitumike kwa sababu zipi....yaani ni nini hasa kilitokea?
 
Back
Top Bottom